Naombeni ushauri wenu wa haraka

Naombeni ushauri wenu wa haraka

Nenda kaonane na daktari bingwa

Ufanye hsg/hcg ( sina uhakika na spelling) na vipimo vingine utakavyoshauriwa na de

Kupandikiza ni hatua ya mwisho
(Ila usifanyie dar, ya dar ni chai tu)

asante sana nadhani kuna post yangu nimeshaiweka nilisaidiwa dawa mbadala humuhumu jf na sasa nina ujauzito wa miezi kadhaa
 
Mtu kapigwa risasi wanampeleka kwa mganga wa kienyeji mwisho wake alikufa huyu jamaa anayempa ushauri wa mganga ni wa kumfikiria mara tano. Ila hiyo ya kupigwa risasi ilikuwa tukio la kweli jamaa alikuwa anaiba mafuta bandari kapigwa risasi wenzake wakamuwahisha kwa mganga wa kienyeji
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom