Naombeni ushauri wenu wa haraka

Naombeni ushauri wenu wa haraka

Yupo Dr mmoja nafikiri kwa sasa yupo Bugando Mwanza huyu naimani ataweza kukusaidia amewasaidia wengi sana hata humu jf nadhani wapo
 
Duh! pole sana dada kuwa makini na waganga matapeli,
Washauli na madem wengine UTOAJI MIMBA NI SOO! sasa inakula kwako.
 
uwe unatumia akili wakati unajibu, aliyekuambia mimi nimetoa mimba ni nani? au umekurupuka kusoma? jaribu kusoma na kuelewa tatizo la mtu na kama huna kitu cha kuchangia ni bora kusoma na kuacha
 
Kwanza pole sana kwa tatzo hlo, jambo la kwanza tuliza akili, pili tatzo kama hlo c kwamba unalo pekee yako ila wapo wengi...

Sasa cha kufanya ni kuwaona madaktar bingwa wa magonjwa ya kina mama!

Lakin pia kama unamwamin Mungu muombe sana yy anatiba sahihi zaidi..

Mhim tu ni kuwa usiende kwa waganga wa jadi unaweza kuja kujuta zaidi ya ss unavo umia!! Kuwa tayari kwa matokeo ya matabib wanaotambulika na serikar, kicha muombe Mungu atakusaidia,

Narudia usifanye kosa kutumia waganga wa jadi utajuta..

Sina ruhusa ya kuexpose no za watu ila kama uki n PM ntakupa NO zao na maelezo ya ziada..

MUNGU akutie nguvu
 
pole sana mkuu ila mbadilike sometym utoaji mimba ni mbaya na hayo ndo madhara mnasuguliwa na vyuma mpk vinakata mirija
hiyo ni adhabu ya mungu coz hapendezwi na tabia zenu. kisa unataka muendelee kuitwa wadadaau wari na kula starehe . mm kwa upande wangu cwezi kukuita dada au mwari zaidi ya mama mfiwa au aliye ua watoto. hah ha ha all cc* learn something.
 
Hivi kuziba kwa mirija ya uzazi husababishwa na kutoa mimba?

Hivi kuziba ni sawa na kukatika?
 
sometymz yes! ndio maana nikatoa tahadhari. samahani kama ntakuwa nimekukwaza ila tahadhari kwa jinsia yako na bibafsi naumia sana kwa vitendo hivyo.
 
Hahahahaaaa mimi ni me mkuu

nimeuliza tu nijue maana kwa ufahamu wangu kuziba kwa mirija ni jinsi mtu alivyoumbwa tu,nina binti ninaye mfahamu ambaye hajawahi kutoa ujauzito lkn ana hilo tatizo na moja ya dalili ni maumivu makali sana kipindi cha hedhi.

Nitalifanyia utafiti hili zaidi ila sikuwahi kusoma mahali nikaambiwa kutoa ujauzito husababisha mirija kuziba
 
fanya utafiti mkuu
 
Duh! pole sana dada kuwa makini na waganga matapeli,
Washauli na madem wengine UTOAJI MIMBA NI SOO! sasa inakula kwako.

Binadamu mnapenda sana kuhukumu. Ulimshuhudia alipokuwa anatoa mimba? Au wewe ndo ulikuwa daktari wake???

Nikirudi kwa mtoa mada hebu muone daktari mwingine akupe opinion. Najua kuna njia nyingi mf laparascopy(spelling) nk kabla ya kuconclude IVF

Ulifanya kipimo cha mirija wakathibitisha imeziba?

Opinion 2 au 3 zinakuhusu
 
isee upo kwenye mtihan mkubwa sana, kaombewe kwanza kwenye kanisa lako/mskiti then ikishindikana ndo uwaone waganga feki wa town a.k.a wazee wa mizimu.
 
pole sana mkuu ila mbadilike sometym utoaji mimba ni mbaya na hayo ndo madhara mnasuguliwa na vyuma mpk vinakata mirija
hiyo ni adhabu ya mungu coz hapendezwi na tabia zenu. kisa unataka muendelee kuitwa wadadaau wari na kula starehe . mm kwa upande wangu cwezi kukuita dada au mwari zaidi ya mama mfiwa au aliye ua watoto. hah ha ha all cc* learn something.

hunamamlaka ya kumhukumu mtu kiasi hiki.
unaushahidi gani na ulichokiandika? kama huna msaada si usome na kupita tuu.
 
Kwanza pole sana kwa tatzo hlo, jambo la kwanza tuliza akili, pili tatzo kama hlo c kwamba unalo pekee yako ila wapo wengi...

Sasa cha kufanya ni kuwaona madaktar bingwa wa magonjwa ya kina mama!

Lakin pia kama unamwamin Mungu muombe sana yy anatiba sahihi zaidi..

Mhim tu ni kuwa usiende kwa waganga wa jadi unaweza kuja kujuta zaidi ya ss unavo umia!! Kuwa tayari kwa matokeo ya matabib wanaotambulika na serikar, kicha muombe Mungu atakusaidia,

Narudia usifanye kosa kutumia waganga wa jadi utajuta..

Sina ruhusa ya kuexpose no za watu ila kama uki n PM ntakupa NO zao na maelezo ya ziada..

MUNGU akutie nguvu

asante sana
 
Pole sana!
Nipatie 500k nikupatie dawa.
Ila dawa kwanza malipo baadae.

Wakati mwingine utani weka kando na ujinga.acha utoto kama huna cha kuchangia kaa kimya.mtu anatatizo unaleta habari za kihanithi.pumbav
 
Binadamu mnapenda sana kuhukumu. Ulimshuhudia alipokuwa anatoa mimba? Au wewe ndo ulikuwa daktari wake???

Nikirudi kwa mtoa mada hebu muone daktari mwingine akupe opinion. Najua kuna njia nyingi mf laparascopy(spelling) nk kabla ya kuconclude IVF

Ulifanya kipimo cha mirija wakathibitisha imeziba?

Opinion 2 au 3 zinakuhusu

asante sana nimefanya vipimo vyote amana hospital
 
Nenda tms kwa doctor kapesa mbezi beach pale! Atakupa vidonge vya kurutubisha mayai mayb itasaidia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom