Naombeni ushauri wenu ndugu zangu

Naombeni ushauri wenu ndugu zangu

tatizo stori zako za za kusadikika
 
Yaan lara siwezi fanya hivyo nampenda sana dada yangu na nmekuwa namuombea mungu amsaidie
Naomba ni-PM namba ya dada yako hata mimi ni single natafta mke lakini bado sijafanikiwa inawezena huu..ni mpango wa Mungu..huenda yeye ndio Mungu amenipangia kuwa chago langu. I am very serious, kama hutojali ingia sebuleni..tuongeee kuhusu huyo dada yako then mengine mimi nitamalizana nae.
 
Stori za kina hillman hizi sasa...
 
Last edited by a moderator:
Ukute unajishaua sanaaaa ile mno mno na hako kamume kako! Labda katika mashauzi yako unakuwa too exited n inconsiderate juu ya feelings za mwenzio!

Mi mwenyewe nina ndugu yangu kaolewa 38, kama hujaolewa huwezi kukaa nae dakika 2 alivo limbukeni! My hubby hiki, mara kile, mara sijui wasioolewa wanaishije blah blah blah! Habby mwenyewe kamuiba mume wa mtu!

Mi ndo kiboko yake! Akianza mbona huolewi, unazeeka tu hapa kumpa mama mzigo? Namjibu i am not 38 YET! Subiri nikifika 38 kama ulivoolewa wewe ndo uniulize now i have over 10 plis somethin years! Its too early for you to ask me! Au saaingine najisikia tu kumkera namwambia we jishaue mkewe hajatoa picha za harusi sebuleni na maombi yake iko siku yatajibu! HANA HAMU NA MIMI!

All in all MAY BE YOU BECAME ARROGANT N UNPLEASANT kuspend even 15 minutes na wewe.
Kwikwikwikwikwi.
Daaa hapo kwenye red nimecheka sana ukiacha hapo kwenye green!
 
Last edited by a moderator:
Asipokupigia simu ah kukutafuta utakufa? Unachubuka ngozi? Jua halitoki? Mvua hazinyeshi? Mwezi unatoka mchana? Au nyota zinaanguka?
 
Back
Top Bottom