Naombeni ushauri waungwana

natambua hicho lakini nampenda sana japo yy hanitaki so friend tell me what to do

Nyinyi ndio mnaowatia viburi wanawake, kwani unaishi North Korea?

Chukuwa totoz nyingine tia mjengoni maisha yaendelee, maisha yenyewe yako wapi ya mtu ku-rent free in your heart?
 
Ninaamini huyo mtoto sio wako miaka 26 ulikuwa bado mtoto . Look here !! Binti mwenyewe Mchaga. Anafanya kazi TRA halafu bado wewe ni mwalimu yaani kada inayo puuzaw na serikali anza ukurasa mpya tafuta mwalimu mwenzio ukimng'ang'ania utakufa siku sio zako.
 
Mimi ni kijana nina wa miaka
26,miaka minne iliyopita nikiwa mwaka wa kwanza chuo kikuu cha dar udsm
nilifanikiwa kumpata binti mmoja wa kichaga tulipendana sana ikafikia
hadi kupata mtoto wa kike tukiwa mwaka wa pili.tuliishi geto kwa
kutegemea boom hadi tuka maliza chuo mwaka jana.Tatizo nililo nalo ni
kwamba tangia tupate kazi mwenzangu hanitaki tena mbaya zaidi hataki
hata mtoto aje kwangu kunisalimia.pia mm muda wa kuoa umefika.so
members wha can ido?j

Kama hakutaki unamng'ang'ania wanini!!?? Au
Rudisha siku nyuma hadi enzi zile mnapendana.
 
Laki moja unusu waona yatosha mkuu?

Ndio maana nimeandika hapo juu kuwa kuna some sort of dissatisfactions toka kwa huyo bi mkubwa.

Sasa to get her back wahitaji uwe na kisu kirefu kaka, otherwise tafuta ustaarabu mwingine maana ameshakuondoa akilini huyo.

natoa hivo kutokana na kipato changu
 
Ninaamini huyo mtoto sio wako miaka 26 ulikuwa bado mtoto . Look here !! Binti mwenyewe Mchaga. Anafanya kazi TRA halafu bado wewe ni mwalimu yaani kada inayo puuzaw na serikali anza ukurasa mpya tafuta mwalimu mwenzio ukimng'ang'ania utakufa siku sio zako.

shikamoo!
 
aaaah kwshine hapo TRA hawajamwacha ...........we anza kutafuta michakato mingine tu aisee ila usiache kupeleka matumizi ya mtoto na ukikutana nae aisee jaribu kupima kwanza au tumia kinga kabisa ...................

hiyo huduma naisikia redioni tu
 
Mimi ni kijana nina wa miaka 26,miaka minne iliyopita nikiwa mwaka wa kwanza chuo kikuu cha dar udsm nilifanikiwa kumpata binti mmoja wa kichaga tulipendana sana ikafikia hadi kupata mtoto wa kike tukiwa mwaka wa pili.tuliishi geto kwa kutegemea boom hadi tuka maliza chuo mwaka jana.Tatizo nililo nalo ni kwamba tangia tupate kazi mwenzangu hanitaki tena mbaya zaidi hataki hata mtoto aje kwangu kunisalimia.pia mm muda wa kuoa umefika.so members wha can ido?j
Kuanza upya si tatizo, alikubali kukaa na wewe coz hakuwa na uhakika wa kujimudu na kujisimamia, usilazimishe kaka hautokula peke yako. Mwache aende kiroho safi na suala la mtoto zungumzeni na unaweza jaribu kuwashirikisha watu wa karibu zaidi.
 
^^
Sijui tutumie mfumo gani ili tuwe tunasikia na upande wa pili.. Maana tunashauri kwa kutazama upande mmoja,mi naamini huyo dada akileta maelezo yake,,mambo yatachukua sura nyingine
^^

Hilo nalo neno,
 
^^
Sijui tutumie mfumo gani ili tuwe tunasikia na upande wa pili.. Maana tunashauri kwa kutazama upande mmoja,mi naamini huyo dada akileta maelezo yake,,mambo yatachukua sura nyingine
^^

Yeah kweli kabisa! Mtu hakutaki tuu! Kuna sababu na zinaweza kuwa na mashiko!
 
huyo mdada hakuwa na mapenzi ya kwel na wewe.au amekudhalau baada ya kukupita kipato.usilazimishe mapenzi kaka mwisho wa siku ukajikuta unaumia zaid ya hapo.huwezi jua mungu kakupangia nin mbele .. na pia usiache kumuhudumia mtoto huyo hana hatia na yenu..
 
Hii ndio shida ya kuwa na vitoto vimoja vimoja vya dawa, enzi za wazee wetu una watoto 6 sasa huyo mmoja mama yake akikuzinguwa unamshukuru ili akusaidie malezi na amlee peke yake nyambafu kabisa.
 
Daah! Pole sana, ila unajua nini, hujatuambia sababu hasa ya yeye kukupotezea kias hcho, ila kwa ushaur wangu we endelea kumuhudimia mtoto wako, then kuanzia sasa fanya mambo yatakoyokufanya uanze kupunguza hzo stress bcoz inapoelekea utakuja ku MU UFOSARO BURE MTOTO WATU.
 
Mlazimishe muoane ili uje utuambie tena nataka kujiua kwa sababu ya fulani
kumlazimisha mwanamke kuoa ni sawa na basi lisilo na dereva wakati wowote linapiga mzinga
chunga sana usije ukaharibu mambo yako
mbona wanawake wengi tu ananii au ya kwake kila ukipiga kitu wapewa hela
 
Sina like mkuu ningekupa saizi umeongea yakweli

Back
Top Bottom