Naombeni ushauri waungwana

Mimi ni kijana nina wa miaka 26,miaka minne iliyopita nikiwa mwaka wa kwanza chuo kikuu cha dar udsm nilifanikiwa kumpata binti mmoja wa kichaga tulipendana sana ikafikia hadi kupata mtoto wa kike tukiwa mwaka wa pili.tuliishi geto kwa kutegemea boom hadi tuka maliza chuo mwaka jana.Tatizo nililo nalo ni kwamba tangia tupate kazi mwenzangu hanitaki tena mbaya zaidi hataki hata mtoto aje kwangu kunisalimia.pia mm muda wa kuoa umefika.so members wha can ido?j

Oa, tena rudi kijijini kaoe, wanawake wa kijijini wanaitaji respect na msimamo mzuri wa maisha tu basi.
husivamie magubegube wa mjini, na wanaojifanya wasomi wajanja kumbe wajinga. yatakukuta kama ya huyo.

Haki ya kumuona mtoto wako unayo, kamshitaki na docs zote uzitunze ili baadae umuoneshe mtoto wako kama ulijaribu kufight kua nae.
 
Ninaamini huyo mtoto sio wako miaka 26 ulikuwa bado mtoto . Look here !! Binti mwenyewe Mchaga. Anafanya kazi TRA halafu bado wewe ni mwalimu yaani kada inayo puuzaw na serikali anza ukurasa mpya tafuta mwalimu mwenzio ukimng'ang'ania utakufa siku sio zako.

Kabisa. Mwalim mwenzio atakufaa, maana waalim wanakuaga na busara. wa tra matapeli wa serikali na raia.
Na mchaga hamna mapenzi ya kweli, alikua anakuitaji na sasa hakuitaji tena, tra kuna chance ya kuwa tajiri kwa siku 30 tu kwa kutapeli. Elim yako ni mzuri na ukioa mwalim mwenzio so maisha yatakua poa na ya uhakika kuliko ya huyo tra.
Hata ukioa kijijini sio mbaya, kama anazo akili tu basi, siku hizi elim tu si kitu ila afya njema na akili ya kuzaliwa nayo pia inaitajika ili ufanye mazuri maishani. Kuna wanawake wameishia seco na wamefanya mazuri maishani kuliko wa chuo kikuu.
 
asante kwa ushauri wako may mungu bless you
 
Mimi ni kijana nina wa miaka 26,miaka minne iliyopita nikiwa mwaka wa kwanza chuo kikuu cha dar udsm nilifanikiwa kumpata binti mmoja wa kichaga tulipendana sana ikafikia hadi kupata mtoto wa kike tukiwa mwaka wa pili.tuliishi geto kwa kutegemea boom hadi tuka maliza chuo mwaka jana.Tatizo nililo nalo ni kwamba tangia tupate kazi mwenzangu hanitaki tena mbaya zaidi hataki hata mtoto aje kwangu kunisalimia.pia mm muda wa kuoa umefika.so members wha can ido?j

braza yawezekana hana malengo na wewe alitaka tu uzae nae basi!,sasa cha kufanya tafuta mwanamke mwenye mtoto mmoja muoe then chukua mwanao ukae nae hapo utapata furaha
 
hakutaki kwa sababu zipi hasa?

haiwezekani mtu ukataliwe tu from nowhere!

fanya upelelezi kijana!

ukigundua kuna mtu anakula tunda lako, .... deal nae effectively!
 
Unataka umwoe mtu ambaye hakupendi?huyo alikuwa anatafuta mahali pa kuegemea tu ili amalize masomo yake,zchana naye oa mwingine,mtoto atabaki wako tu tafuta njia nyingine ya kuwa karibu na mtoto....
 
^^
Sijui tutumie mfumo gani ili tuwe tunasikia na upande wa pili.. Maana tunashauri kwa kutazama upande mmoja,mi naamini huyo dada akileta maelezo yake,,mambo yatachukua sura nyingine
^^
Hili nalo neno maana siku zote msema peke yake muongo! Atuambie tu alichangia vipi katika mabadiliko ya ghafla kwa mama mtoto
 
Back
Top Bottom