Jini Kisiranii
JF-Expert Member
- Feb 20, 2018
- 2,021
- 2,462
yawezekana wewe ndo una kasoro. pia hayupo binadama mkamilifu, utachagua sana mwisho utaoa kibakaNaombeni ushauri, nina miaka 31, nipo timamu na nimekamilika, mpaka sasa sijaoa na sijui nitakayemwoa, kila nikijaribu kuanza mahusiano haipiti miezi mitatu yaani namchukia na kumwona ana kasoro kibao mwenzi wangu, nachukia saana hii hali natamani initoke nisonge mbele, sijui Nifanyeje