Naombeni ushauri wapendwa

Naombeni ushauri wapendwa

Naombeni ushauri, nina miaka 31, nipo timamu na nimekamilika, mpaka sasa sijaoa na sijui nitakayemwoa, kila nikijaribu kuanza mahusiano haipiti miezi mitatu yaani namchukia na kumwona ana kasoro kibao mwenzi wangu, nachukia saana hii hali natamani initoke nisonge mbele, sijui Nifanyeje

Kuna sehemu hapo juu katika maelezo yako umejinasibu kabisa kwamba upo Timamu na Umekamilika ila nilipomaliza tu kusoma ' Content ' yako nzima nimegundua kuwa hauko Timamu na Hujakamilika kunako ' Upstairs ' Kwako na pengine ndiyo maana hukai na Wanawake.

Jitathmini kwani bado hujachelewa!
 
Naombeni ushauri, nina miaka 31, nipo timamu na nimekamilika, mpaka sasa sijaoa na sijui nitakayemwoa, kila nikijaribu kuanza mahusiano haipiti miezi mitatu yaani namchukia na kumwona ana kasoro kibao mwenzi wangu, nachukia saana hii hali natamani initoke nisonge mbele, sijui Nifanyeje

Habari yako Mdogo wangu?

Ukiweza kuacha tabia ya ujivuni na kujisikia utaweza kuishi na mwanamke na hapa naliona tatizo jingine hapa una mahusiano mabaya pia hata na vijana wenzio kwa tatizo la ujivuni.

Dawa ziko mbili hapa na zote ni CHUNGU kweli kweli.
  1. Msingi mkubwa wa mahusiano ya aina yeyote yawe ni BABA, MAMA, RAFIKI AU MPENZI(DEMU) ni ku compromise, kama jambo hili hutaki kulipa nafasi kwenye akili yako huwezi kuwa na uhusiano na mtu wa kawaida labda awe anazo chembe za umalaika.
    • Mfano wa compromises.
      • Wewe ni mfanyakazi ambaye unahakikisha dawati lako halibaki na kazi yeyote ya siku hiyo kabla ya kwenda nyumbani hivyo kujikuta kila cku unarudi nyumbani saa nne usiku, badilisha utaratibu na amua katika wiki at most siku tatu unarudi nyumbani na kula chakula cha jioni na familia.
      • Au wewe si mpenzi wa kwenda MOVIES ila mwenza anapenda, jitahidi hata kwa mwezi mara mbili uwe unaenda naye.
      • Wewe ni mvutaji wa sigara au mnywaji wa pombe na mwenzako anakereka na tabia hiyo hakikisha unakuwa soba mara nyingi unapokua naye au unatumia vitu vinavyokata harufu mdomoni kabla ya kumsogelea
  2. Kama namba moja imekushinda, hapa jaribu kutafuta mtu ambaye kwa mtizamo wa nje na wa ndani kakuzidi kivigezo,. kisaikolojia hii itakusaidia wewe kumpa thamani ya juu na kuing'ang'ania ile thamani isikutoke na kwa mantiki hiyo utajikuta automatical indirect unaanza kujifunza namba moja ambayo ni ku compromise.
Karibu
 
Asante mkuu, Labda niweke wazi kitu kimoja, hii imenitokea toka miaka mitatu iliyopita, niliacha na mpnz wangu baada ya kupishana mitazamo, kiukweli nilikuwa nampenda saaana huyu bibie, from there nikijaribu kuanza mahusiano namchukia baada ya muda mfupi namwona hafai, natamani kuoa na kuwa na familia sasa jamani
 
Naombeni ushauri, nina miaka 31, nipo timamu na nimekamilika, mpaka sasa sijaoa na sijui nitakayemwoa, kila nikijaribu kuanza mahusiano haipiti miezi mitatu yaani namchukia na kumwona ana kasoro kibao mwenzi wangu, nachukia saana hii hali natamani initoke nisonge mbele, sijui Nifanyeje
Usijitese wala usuje kumtesa mtoto wawatu,subiria utakua tayari ipi siku huenda umetendwa na ndio sababu ukachukia,au bado hujaamua kutoka moyoni sasa usijilazimishe.
 
Naombeni ushauri, nina miaka 31, nipo timamu na nimekamilika, mpaka sasa sijaoa na sijui nitakayemwoa, kila nikijaribu kuanza mahusiano haipiti miezi mitatu yaani namchukia na kumwona ana kasoro kibao mwenzi wangu, nachukia saana hii hali natamani initoke nisonge mbele, sijui Nifanyeje
Kulingana na watu WA psychology wewe ni perfectionist ambae unataka kila kitu kiende kama vile wewe unavyo taka au vile unaona sasa shida yenu nyinyi mnapo ona mambo hayako kama mnavyotaka mnakua dis-blessed

Sasa solution kwa tatizo lako ni wewe kuanza kuji condition kila uonapo makosa kufanya kama hujaona au hata kama utataka ku-take attention kwenye hayo makosa jaribu kuwa mpole na kuelekeza kwa upole slowly utaanza kupona through hiyo sio issue ya siku moja inabidi kweli ujitoe itakuchukua mda kidogo but never give up be humble as much as its needed

Jitahidi kua social na watu wengi
Jifunze Ku take easily kwa makosa yoyote yanayo tokea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom