D
Deleted member 485868
Guest
Hyo canselling yangu mie au mwenye uziNjoo kwa ajili ya canselling bei 350,000/=
Hyo canselling yangu mie au mwenye uziNjoo kwa ajili ya canselling bei 350,000/=
mwenye uzi mkuu sorryHyo canselling yangu mie au mwenye uzi
Hapa sasa naelewa kuwa tatizo linaweza pia kua huyo mwanamke uliye achana naye ndo alikua wako kweli kweli sasa baada ya kumpoteza hakuna ambae unaona anakuja au ana meet zile standard za yule ambae ulikua nae (kwa kifupi ni kwamba ulitake her for granted then ameondoka ) kama unaweza Fanya mpango umrudie ila hata kama haiwezekani kutokana na nature ya maisha basi usihofu sana Fanya kua social na njia kama nilivyo eleza katika posti yangu #39Asante mkuu, Labda niweke wazi kitu kimoja, hii imenitokea toka miaka mitatu iliyopita, niliacha na mpnz wangu baada ya kupishana mitazamo, kiukweli nilikuwa nampenda saaana huyu bibie, from there nikijaribu kuanza mahusiano namchukia baada ya muda mfupi namwona hafai, natamani kuoa na kuwa na familia sasa jamani
[emoji3] [emoji3] [emoji3] utajuaje kama chakula kimezidi chumvi au hakina chumvi?Hayo ni madhara ya kulia chakula jikoni kabla hakijaiva na kupakuliwa..... Tafuta umpendae, umuoe bila kufanya nae tendo la ndoa!
Neno kuntuTia Mimba Lea
Huku Unaendelea Na Ubachela Wako
jaman hapana, ametoa ushauri mzuri sanaBibie naona unaamua kumdumbukiza mwanamke mwenzako kwenye shimo la MOTO.
hahahahahha weye kiboko[emoji3] [emoji3] [emoji3] utajuaje kama chakula kimezidi chumvi au hakina chumvi?
Upo? Kitambo sanahahahahahha weye kiboko
teh
jinsia yakoNaombeni ushauri, nina miaka 31, nipo timamu na nimekamilika, mpaka sasa sijaoa na sijui nitakayemwoa, kila nikijaribu kuanza mahusiano haipiti miezi mitatu yaani namchukia na kumwona ana kasoro kibao mwenzi wangu, nachukia saana hii hali natamani initoke nisonge mbele, sijui Nifanyeje
nipo mkuu mambo yanabanana tu nashindwa kuwa na mahudhurio chanyaUpo? Kitambo sana
[emoji23][emoji23][emoji23] Sawa sawaa Boss..Dume la dar hiloo.......!
mkuu hembu jaribu kutafuta aliyekuzidi umri hivi kama 45+ asee utapenda mwenyewe.., yani utaona kama ulikuwa unachelewa kufanya maamuzi haya
Mpishi mzoefu hahitaji kuonja chakula kujua kiasi cha chumvi.....[emoji3] [emoji3] [emoji3] utajuaje kama chakula kimezidi chumvi au hakina chumvi?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] lazima u testMpishi mzoefu hahitaji kuonja chakula kujua kiasi cha chumvi.....
Hayo ni madhara ya kulia chakula jikoni kabla hakijaiva na kupakuliwa..... Tafuta umpendae, umuoe bila kufanya nae tendo la ndoa!