Naombeni ushauri wanajamvi

Naombeni ushauri wanajamvi

daah pole kijana ndo ukubwa uo.kaen chin muyajenge
 
Mvulana anataka kukaa na mwanamke. Mvulana anakaa na msichana. Ya nini mambo ya wanaume na wewe mvulana?!?
 
pole mvulana..andaa ripoti ya mapato na matumizi and hakikisha unafungua makabati vizuri and yanabalance.mwisho ujiandae kwa presentation.
 
Dah!
Nakuonea huruma sana! (sitoe hata senti 5! Usije ukaniambia kama nakuhurumia nikusaidie kulipa!)
Nakuonea huruma kwa uboya uliofanya na wanaMMU wa(tu)navyokuzodoa!
...
Apa usitafute mchawi, ni wewe ndie umekwenda against na instruction ulizopewa!
...
Hapo wewe msubirie umuombe msamaha tu hakuna jengine!
...
If kakubali or kakataa, jifunze kitu hapo! Si kila unachoona ni Moral kwako wewe ukadhani kitakua Moral kwa wengine!
...
For sure umefanya uboya wa hali ya juu!
 
asingeenda angeonekana ana roho mbaya, hajali
angeenda bila kuchangia kitu napo ingekuwa kazi asingeeleweka!!!!
ameenda kwa kutumia hela za swittie nayo balaaa!!!
binadam hatuna jema!!

swali kwa mtoa mada
mwanamke wako alikuwa anajua kuwa kuna shughuli hyo na kuwa huko kijijini hawana uwezo wanantegemea yy?
n if so alikupa maelezo yyt kuhusiana na hilo?
if no y hukumuuliza b4 hujaenda huko kijijini
 
Duh pole sn km vp msikilizie akirudi niaje ila komaa asikuzingue kiivo mpwa dawa ni kukaza akijua unalialia atakuendesha.
 
wewe kama mSUKUMA ,,,
itabidi niombe muongozo tu kabla sijakushauri,,maana ntapigwa ban bure
 
Halafu ulivyoandika kama ndio mwalimu wa Diploma haya ni majanga ....

By the way.. Hesabu maumivu kwa huyo mchumba wako aliyeenda kusoma ulaya...hata kama ulaya yenyewe iko Malawi.
 
Kweli umependa ndugu, ila swali ni Je, ulimwambia kuhusu nia ya kutumia hizo US$ kabla ya matumizi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom