Naombeni ushauri wanajamvi

Naombeni ushauri wanajamvi

We bwa mdogo humu utachanganyikiwa tu watoa ushauri si umewaona? Fanya yako
 
ok. Narudi tena kwa mara
nyingine kutoa feedback juu post yangu ya january 2. yule mchumba angu
karudi toka london alinipigia cm siku mbili kabla hajaja kuwa nikampokee
airport ila mm sikwenda coz awali alikataa nisiende kumpokea hivyo
alikuja yy had home.
nilimkaribisha tukasalimiana vizuri baada ya hapo akaanza kwa
kuniulizia hali za nyumban kwao nilimsimulia na akauliza shughur
iliendaje ya ujenzi wa makaburi nilimsimulia na pia niliweka CD aangalie
kwani niliweza kuchukua movie nzima ya shughuri toka tunaanza safar
arusha had tunarud.
kwa kweli aliangalia takriban dk 256 had movie yote kwisha. badae
aliomba nimpatie kitabu cha matumizi yaaa nilimpa akasoma , sehemu
alizokuwa hazielewi nilimfafanulia baada ya kumaliza. alitamka maneno
haya nanukuu" mchumba angu pole sana kwa majukumu haya niliyokuachia
kwan sikutegemea kama ungeweza kuyatekereza kwa ufanisi huu kwakweli
nakupongeza sana , sina cha kukupa zaidi ya upendo wangu wa dhati kwako
yote niliyokukwaza naomba nisamehe zilikuwa ni hasira tu lakin baadaye
nilofikiria na nilipoona mwenyewe kwa kaz uliyoifanya nimefurahi sana
hasa nimemkuta mdogo wangu ame improve kitaaluma najua hiz zote ni
juhudi zako asante sana"
Hayo ndiyo baadhi ya maneno yake , aidha kaniomba nifanye juu chini
nikatoe posa kwao. ila cha ajabu alipo ongea na wazazi wake kwa njia
simu wazazi wake hasa mamaake ndiye aliyebaki kasema nisitoe posa kwani
kanizawadia bure kwa jinsi nilivyoonesha uwajibikaji wangu na uaminifu
wangu kwa bint yake lakn huu mchumba angu ananilazimisha lazma nitoe
tena laki 200,000 tu hata km mama yake hataki. hapo ndipo palipo na
mvutano kati ya mama na bintiye. je mnanishauri nifanyeje. bila kusahau
kwa wale walioniponda nao nawashukuru kwa mchango wao pia wasikose
kuchangia na hili pia

eh!we nae jifunze jaman jipige kifua peleka mahali mwambie mama hii si mahari bt ni sehemu ya shukrani 2 kwa kunizalia na kunitunzia binti mzuri kama huyu...mwisho wa siku ugeukwe tena ''kwanza mke mwenye 2mekupa 2 ulileta hata sh nkumi hapa'' we haya 2 binadamu hawana wema!!kua na misimamo yako usipende kupewa pewa 2 kumbuka hata ile ulipewa matokeo kuomba ushauri,utarudi tena hapa we haya 2.
 
una homonny za kike watch out! unakoelekea atanunua toi akukule 0713
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom