Msandawe Halisi
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 647
- 351
Ndugu zangu wana MMU. Kuna manzi wa kihaha nimemzimikia sana, napenda kuvuta jiko hili straight a way. Mambo ya kuchezeana chezeana na kuchunguzana mimi sitaki. Nimeplan kuduu nae mpaka ndoa iwe imefungwa. Naombeni wenye kujua taratibu za utoaji wa mahari kwa kabila hili mnisaidie.
Mimi kazi zangu za kuunga unga, nimekuwa nikitishwa na baadhi ya watu kama nitaweza kutoa mahari kwa mtoto huyu wa kihaya. Naomba uzoefu zaidi kwa walio oa kabila hili zuri.
Mimi kazi zangu za kuunga unga, nimekuwa nikitishwa na baadhi ya watu kama nitaweza kutoa mahari kwa mtoto huyu wa kihaya. Naomba uzoefu zaidi kwa walio oa kabila hili zuri.