kwa kifupi kuna rafiki yangu aliolewa tena ndoa ya kanisani,haikumaliza mwaka wakawa wametengana kisa mwanamke hashiki mimba,dada wa watu mlokole,baada ya mwaka na nusu wakarudiana tena lakini kila mtu akawa anaishi kivyake,mwanaume alisema mpaka huyo dada aconcive ndio wataishi pamoja Mungu wa ajabu dada wa watu akapata ujauzito,baada ya kupata ujauzito kaka kumbe alikua ameshaanza mausiano na mtu mwingine,kumwambia anamimba yule kaka akasema sio yake,baadae baada ya familia kuja juu akakubali ni yake,yule hawara yake alivyosikia mke kazaa nae kabeba mimba,wote wananyonyesha sa hv,mwanaume anaishi peke yake sa hv,akiulizwa kulikoni anajibu bado anamuomba Mungu amuonyeshe nani mke wake,kwa mke hajali mtoto mpaka kupigizana kelele,akidai hana hele,kwa hawara hela zipo nani mtu mwenye uwezo sana na anasema ameokoka,ushauri wenu jamani.