cha mtu mavi
Member
- Jan 15, 2017
- 67
- 20
Nina mpango wa kukopa trekta au Mashine ya kuvunia mpunga lkn pesa zangu ni ml.30 Mashine zinauzwa ml.55@ 1 shida yangu nataka kujua mkoa gani naweza weka Mashine yangu au trekta langu likanisaidia kulipa mkopo kwa amani na kama ikiwezekana nipate mchanganua wa ukodishaji wa Mashine au trekta ili nijue pakuanzia sijawahi hishi mikoani zaidi ya Dar mazingira ya vijijini na kilimo ni mambo mageni kwangu Ila nimedhamilia niingie mzigoni msaada wenu utaleta Tina kwenye dhamira yangu
Sent from my Y4 using JamiiForums mobile app
Sent from my Y4 using JamiiForums mobile app