NAOMBENI USHAURI WA SIMU NZURI:BAJETI NI 400K

shadownet

Senior Member
Aug 4, 2015
133
674
Hello members naombeni ushauri wa kupata simu nzuri....Bajeti yangu ni laki nne, Hijalishi simu itakuwa pungufu ya hio bajeti,

Naombeni ushauri please
 
Hello members naombeni ushauri wa kupata simu nzuri....Bajeti yangu ni laki nne, Hijalishi simu itakuwa pungufu ya hio bajeti,

Naombeni ushauri please[/QUOTEsometime mnatuchosha sana sisi tunawaza bajeti za watoto wa shule wengine mnatuambie tuwape ushauri wa kununua simu..hivi vichwa vyenu viko vizuri kweli?...simu zimejaa kila mahali na bei zake zinajulikana si mnunue kimya kimya tuuuuu....je huu ni uungwanaaaaaaa.....
 
Samsung galaxy j6 2018
Au samsunggalaxy s6
Au
Iphone 6
Au
oppo find
Inshort ni una otion nyingi
Au tafta laki6.5 ununue xiomi pocophone f1 ambayo ni the best budget phone 2018 yenye spects za s9 au huawei mate 20 pro
 
Hello members naombeni ushauri wa kupata simu nzuri....Bajeti yangu ni laki nne, Hijalishi simu itakuwa pungufu ya hio bajeti,

Naombeni ushauri please
Galaxy note 4 inategemea na duka bei inaanzia 470k ila feature zake na performance ninzuri sana ingia YouTube kupata taarifa zake au gsm arena. Ni flagship ya 2014 ila sifa zake simu chache za 2018 zinazo ukiacha flagship hata mimi nampango wa kuitumia ila ni uamuzi wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samsung galaxy j6 2018
Au samsunggalaxy s6
Au
Iphone 6
Au
oppo find
Inshort ni una otion nyingi
Au tafta laki6.5 ununue xiomi pocophone f1 ambayo ni the best budget phone 2018 yenye spects za s9 au huawei mate 20 pro
Kumbe poco ni simu kali namna hiyo? Tatizo ni ngumu kuipata bongo mpka kugiza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NEW Nytemare Acha kumpoteza kijana mwenzako mkuu,wewe una kibanzi machoni unataka kumtia jamaa boriti aisee?

Simu Tecno ikishazidi 80K hiyo siyo ya kununua bora mtu akanunua kitochi 40K akaongeza hela akanunua simu nzuri baadae.

Sent using Redmi Note 5
 
Back
Top Bottom