Teckla Anne
Member
- Nov 19, 2012
- 7
- 3
Jamani wana jamii forum kuna watu humu wanapenda jokes sana. Watu tupo serious then anatokea mtu anaku pm then mnaendelea na chat mnapeana contact alafu haraka anaenda tumia namba yako ili ajue jina lako halisi. sasa hiyo ndo maana halisi ya forum? kuweni wastaarabu.
Mhhhm afu cha ajabu, number imetolewa hata bila kujuana kwanza :biggrin1:Sasa bidada kama mmefikia hatua ya kupeana namba, kuna haja ya kufichana tena majina?
Don't take jf that much serious bana.
Jamani wana jamii forum kuna watu humu wanapenda jokes sana. Watu tupo serious then anatokea mtu anaku pm then mnaendelea na chat mnapeana contact alafu haraka anaenda tumia namba yako ili ajue jina lako halisi. sasa hiyo ndo maana halisi ya forum? kuweni wastaarabu.
Halafu wewe mbona umepotea sana hivyo??
Alilambwa ban
Dah long time sana upo mtu wangu?yani mpaka tunakuwa wageni tena humu jukwaani.Maisha yalikua magumu ndugu yangu nikakimbia mjini nikawa nimepata kazi ya kulinda mnara wa voda mikumi na unajua ile kazi inavobana,ila kwasasa nimerudi mjini.