Teckla Anne
Member
- Nov 19, 2012
- 7
- 3
Jamani wana jamii forum kuna watu humu wanapenda jokes sana. Watu tupo serious then anatokea mtu anaku pm then mnaendelea na chat mnapeana contact alafu haraka anaenda tumia namba yako ili ajue jina lako halisi. sasa hiyo ndo maana halisi ya forum? kuweni wastaarabu.