Naombeni Ushauri, upendo wangu kwa mke wangu unashuka

Registered_jf

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2024
Posts
920
Reaction score
1,454
Nina jambo ambalo ningependa mnishauri, linanisumbua sana. Nisaidie kufanya maamuzi.

Nina miaka 29 ni baba wa watoto wawili. Nimeishi na mke wangu toka 2020 nilipomaliza chuo. Tumepishana umri kidogo yeye ana 34.

Wakati tunakutana alikuwa ameajiriwa na immediately tukawa tumeclick maana nilimuona ni mwanamke mchakarikaji. Tulianza kuishi pamoja baada ya kuona hamna haja kulipa kodi mara mbili nikahamia kwake.

Baada ya miezi 5 wife akapata ujauzito, kiukweli sikuwa tayari kuwa baba lakini niliona wife ana matumaini makubwa sana na kuanzisha familia nikaogopa kumdisappoint tu nikaamua tuendelee kuishi kama familia.

2021 nikapata ajira, ni kama wife alinifanyia connection nikapata pa kuanzia maisha nashukuru Mungu. Na familia pia ikazidi kukua.

Sasa kadri maisha yalivyozidi kusonga ndivyo mapenzi yanavyozidi kupungua kwa mke wangu sielewi. Naona kama nilikurupuka kuoa hivi, au ni kama nilioa kwa sababu ya uoga wa maisha.

Huyu mwanamke kiukweli moyoni simpendi ila naishi nae tu ilimradi kila nikitoka kazini najikuta tu najichelewesha kurudi nyumbani sababu sitaki maongezi mengi na huyu mwanamke. Sina furaha nikiwa nyumbani ila sionyeshi.

Nimejikuta tu nimekuwa mtu wa kuwa na mademu wengi huku nje tu angalau tu nafsi iridhike, nyumbani narudi tu kuzuga. Nafanya mapenzi nae ile tu nitimize wajibu lakini sina furaha.

Sijui kama unanielewa? Huyu mwanamke hana kasoro yoyote amefanya kila kitu mwanamke anatakiwa kumfanyia mume wake lakini bado roho haijamkubali mwisho wa siku najikuta natafuta furaha nje kutoka kwa wanawake wengine na michepuko, sasa sielewi ni mimi au na wanaume wenzangu wanaoishi kwenye ndoa wapo hivo au inakuwaje.

Najiona kama vile naishi ndani ya jela la kujitakia. Naombeni ushauri.

(Kutoka page ya Lawi Murunga)
 
Naombeni namba za huyo mke PM nimweke busy mpaka jamaa utakapompenda 🤝🤝
 
nilimuona ni mwanamke mchakarikaji. Tulianza kuishi pamoja baada ya kuona hamna haja kulipa kodi mara mbili nikahamia kwake.

Baada ya miezi 5 wife akapata ujauzito, kiukweli sikuwa tayari kuwa baba lakini niliona wife ana matumaini makubwa sa 2021 nikapata ajira, ni kama wife alinifanyia connection nikapata pa kuanzia maisha
nashukuru Mungu. Na familia pia ikazidi kukua.
Laiti kama ungekataa ndoa mapema haya yooote yasingekukuta.

Lakini tamaa zako za kulelewa ukaona sawa kukaa na mwanamke aliekuzidi umri wa miaka 5.

Akakutafutia na kazi, sasa umepata kazi unamuona mzee? Huyo ni chaguo lako mzee.
 
Bila shaka huyo ni mwanamke sahihi kwako na ni mke sahihi.

Ninachoona ni kuwa hakuna hamsha hamsha kwenye ndoa, mmezoeana. Yaan Hakuna jipya.

Cha kufanya:-

1. Jaribu kutoka home, danganya hata safar ya kikazi au msiba au chochote utoke home hata wiki 1. Kaa huko usiwaze kuhusu family then uone ni siku ngap utapitisha bila kummic mke na watoto wako,
Ndio utajua kuwa wanaumuhimu kias gan

2. Jaribu kuchunguza kwa undani hao wanawake wa nje ulionao , (utagundua mkeo ana afadhali na anakupenda mara 100 za hao michepuko wanaotaka huduma kwako

3. Mara nyingne raha ya mapenz ni mgombane gombane , mnuniane , mkaripiane kidogo, roho ziumie and in a process ya kubembelezana. mapenz pia yanarud na kuchepuka upya.
Penz likiwa too perfect linachosha na unakinai.
 
Nafikiri moja ya super powers humu duniani ni power ya kuwa MKWELI.

Unajua kabisa moyoni I DO NOT LOVE THIS PERSON, but you settle because umri umeenda or uchumi haueleweki, hoping the heavens will intervene and fix it.

The heavens (GOD) have nothing to do with such arrangements because one of the laws operating in heaven is TRUTH. God has nothing to do with any covenants based on lies.

True Love doesn't die Bwana, tena when you're close it actually gets stronger. Even when they're far away Love stands.

Anayekataa haya hajui Upendo ni nini. Ame settle, yamemchachia, sasa amejaa sumu. Yeye mwenyewe hana Upendo ndani yake.

Most people settle. Most people Lie. Say the truth!

Tell them I HAVE NO FEELINGS nakuja tu kwasababu I am 30+ nisije nikaitwa msimbe, nungaembe, reject, low value woman etc.

Tell them I HAVE NO FEELINGS nakuja tu coz ramani hazisomi and you are offering to provide fo me, like that guy up there.

Tell them I HAVE NO FEELINGS nakuja tu coz sijampata ninayempenda na naweza nisimpate, na sitaki kuwa peke yangu milele, au sitaki kufanya uasherati.

Tell them I HAVE NO FEELINGS nataka tu Title ya family man family woman ili nipate cheo / benefits. Mpenzi wangu wa kweli nitakutana naye huko mbele ya safari.

Tell the Truth.

Sasa kuna kusema kweli na kuiishi kweli.

Unasema kweli halafu unaenda kuishi uongo. Kwenye sheria za logic huo ni uongo tu.

Marriage is a good thing designed by God himself. It is these Liers destroying this beautiful institution.

#ComeLordJesus
 
Unamtendea ukatili huyo dada.
Na nikushauri tu acha mara moja. She doesnt deserve that.
Sio kuwa humpend ila sema sasa humtaki.
Be watchful man, kama she is a perfect wife (which sounds she is infacr kwa habari umeeleza) usimuache huyo na usimganyie huo ushenz unataka kufanya. Utalia ,na hutaamini.
 
Huku nje kuna wanawake wachenz sana.

Ni bahat kumpata mwanamke kama huyo.
 
Nafikiri moja ya super powers humu duniani ni power ya kuwa MKWELI.

Unajua kabisa moyoni I DO NOT LOVE THIS PERSON, but you settle because umri umeenda or uchumi haueleweki, hoping the heavens will intervene and fix it.

The heavens (GOD) have nothing to do with such arrangements because one of the laws operating in heaven is TRUTH. God has nothing to do with any covenants based on lies.

True Love doesn't die Bwana, tena when you're close it actually gets stronger. Even when they're far away Love stands.

Anayekataa haya hajui Upendo ni nini. Ame settle, yamemchachia, sasa amejaa sumu.

Most people settle. Most people Lie. Say the truth!

Tell them I HAVE NO FEELINGS nakuja tu kwasababu I am 30+ nisije nikaitwa msimbe, nungaembe, reject, low value woman etc.

Tell them I HAVE NO FEELINGS nakuja tu coz ramani hazisomi and you are offering to provide fo me, like that guy up there.

Tell them I HAVE NO FEELINGS nakuja tu coz sijampata ninayempenda na naweza nisimpate, na sitaki kuwa peke yangu milele, au sitaki kufanya uasherati.

Tell them I HAVE NO FEELINGS nataka tu Title ya family man family woman ili nipate cheo / benefits. Mpenzi wangu wa kweli nitakutana naye huko mbele ya safari.

Tell the Truth.

Sasa kuna kusema kweli na kuiishi kweli.

Unasema kweli halafu unaenda kuishi uongo. Kwenye sheria za logic huo ni uongo tu.

Marriage is a good thing designed by God himself. It is these Liers destroying this beautiful institution.

#ComeLordJesus
Expert wangu umeongea jambo moja zuri sana,watu wengi sana tunaishi kwenye uongo tukitegemea tunapata nafuu,lkn ukweli ni kwamba tunapata nafuu ya mda mchache sana

Huyo mtu namuelewa sana tena sana,kama humpendi mtu au hayupo moyoni hata ukae nae mbali hautammiss kamwe tena sana utajisikia ahueni

Kuna ile unampenda mtu lkn upendo ukatoweka kutokana na sababu labda za ugomvi au kukukosea adabu,kwa mazingira haya upendo unarudi mara pale sababu zilizo fanya upendo uondoke zikipata ufumbuzi

Lakini kama mtu hukumpenda tu kutoka moyoni,hakuna kitacho kufanya umpende

Kwahiyo kwa wale ambao mnatarajia kuingia kwenye ndoa,muwe wakweli na nyoyo zenu,usimpende mtu kwa ajili ya hela,au umaarufu au jina,trust me baada ya mda utauona uhalisia wenyewe wa hisia zako

Usiji jidanganye ila uwe mkweli kwa usalama wako,furaha yako na amani yako
 
Nafikiri moja ya super powers humu duniani ni power ya kuwa MKWELI.

Unajua kabisa moyoni I DO NOT LOVE THIS PERSON, but you settle because umri umeenda or uchumi haueleweki, hoping the heavens will intervene and fix it.

The heavens (GOD) have nothing to do with such arrangements because one of the laws operating in heaven is TRUTH. God has nothing to do with any covenants based on lies.

True Love doesn't die Bwana, tena when you're close it actually gets stronger. Even when they're far away Love stands.

Anayekataa haya hajui Upendo ni nini. Ame settle, yamemchachia, sasa amejaa sumu. Yeye mwenyewe hana Upendo ndani yake.

Most people settle. Most people Lie. Say the truth!

Tell them I HAVE NO FEELINGS nakuja tu kwasababu I am 30+ nisije nikaitwa msimbe, nungaembe, reject, low value woman etc.

Tell them I HAVE NO FEELINGS nakuja tu coz ramani hazisomi and you are offering to provide fo me, like that guy up there.

Tell them I HAVE NO FEELINGS nakuja tu coz sijampata ninayempenda na naweza nisimpate, na sitaki kuwa peke yangu milele, au sitaki kufanya uasherati.

Tell them I HAVE NO FEELINGS nataka tu Title ya family man family woman ili nipate cheo / benefits. Mpenzi wangu wa kweli nitakutana naye huko mbele ya safari.

Tell the Truth.

Sasa kuna kusema kweli na kuiishi kweli.

Unasema kweli halafu unaenda kuishi uongo. Kwenye sheria za logic huo ni uongo tu.

Marriage is a good thing designed by God himself. It is these Liers destroying this beautiful institution.

#ComeLordJesus
Naomba kufahamu umri wako kama hutojali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom