Naombeni ushauri tafadhali

Pole Sana ila jifunze kua mgumu mapenzi Ndio yalivo there's no permanent!! Ilinitokea hio kitu chochote hakipiti haa soda iligoma ila hua nina principle yangu cheating unacceptable!! Any betray is unforgivable,, nililala chini siku Tatu Kama namaliza msiba nikamfuta kbs!! Nikatafuta kitu kizuri Sana baada ya miaka kadhaa,, jipe muda wanawake dunia hii wapi wengi Sana inatakiwa sisi wanaume tuwe nao Kama wanne wanne Ndio tutatoshea so don't sue for the shiit move on!! Kwenda kwa sangoma ina maanisha ulimbahatisha!!
 
Pole sana broo. So long keshakuhesabia mapungifu yako mwanzo mwisho let it go. Mapenzi hayalazimishwi. Ofcourse itakuuma mwanzoni lakini baadae utamsahau. Let it go
 
Ukitaka kumsahau kwa urahisi,.................
Anza kukumbuka na kuorodhesha mabaya na kasoro zake zoooote alizokuwa nazo kwa kipindi mlichokuwa pamoja,
no way out!
itakusaidia hiyo,,,,,
 
Pole mkuu kwa hayo yaliyokusibu na yanawatokea wengi wale wanaopenda kwa dhati! Jaribu kufanya "meditation" inasaidia sana na ni nzuri kwa afya pia
 
Achana nae.

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
dah.. hawa wanawake sijui wapewe nini? kupendwa koote huko anakuja kuharibu katika hatua za mwisho?

si bure.. huyo kaona green pasture nzuri zaidi..!

aisee usipende 100%.. bakiza 50% kwa mambo mengine ikiwemo usalama wa roho na mali zako na ndugu zako!
 

Huo ni ujinga mkubwa kupita mambo yote, mbona kabla hujawa nae hukua uliyechanganyikiwa??Mbona kabla ujawa nae Hukuwa mtu aliyekata tamaa?? Ebu fanya kazi jiandalie maisha huyo sio wako, wpo wengi watakaoweza kuwa nawe baadae
 
Jitahidi kutowaza juu yake na jishughulishe zaidi na kazi.
 
Nilichokigundua kwako ni hutak kuukubaki ukweli.Imagine angeendelea kua na wewe huku ana cheat siku ungegundua ingekuaje?si ungeumia zaidi ya alivokupa ukweli kua hakutaki tafuta mwanamk mwngne........
Love is not complicate but people are.....,like you
 
u gat point mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…