Naombeni ushauri tafadhali

Pole sana kijana ila usijaribu kusema umekata tamaa ya maisha kwa ajili yake kwani maisha yako yapo mikononi mwako mwenyewe

Nakshi..mdedicate wimbo wa lucky dube ule,unaoitwa IS NOT EASY
 

hivi ni "liziki" ama "riziki"
 
pole sana mkuu,yanatokeaga hayo,mi mwenye majeraha ya namna hiyo ndio yanaponapona hapa,get strong yatapita tu!
 
mapenzi magumu unayempenda hakupendi, usiyempenda anakupenda
 
Ng'ang'ana uone mziki wake hicho kichomi bro songa mbele,huyo dem angekupotezea muda tena ni jambo la kumshukuru mungu safari yenu ya maisha kuikatisha mapema.ole wako urudishe majeshi nyuma utaona MOTO WAKE.
 
daaaah mkuu ni kweli lakn inauma kweli!

Na pia usirudie tena kuonyesha mapenzi ya wazi kwa hawa wanawake kwan yeye anatumia udhaifu wako kukuumiza kimapenz,lkn mwachie mungu hakika utalipwa hapahapa kwa maumivu makali anayokusababishia.
 
unakata tamaa ya maisha kwani ulizaliwa nae?
songa mbele na maisha yako acha ujinga
 
princess sayuni unajua hiyo inakuja automatically nataka mnishauri niikubali na kuiona jambo la kawaida tu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…