Naombeni ushauri nipo kwenye giza

Naombeni ushauri nipo kwenye giza

Unaonesha wewe ni apeche alolo kama mimi tu ndo maana bwana Mike kakamata goma kiwepesi.
 
Usichoridhika nacho hapo kitu gani???? Hivi mnashindwaje kuukubali ukweli??? Yaani mpaka unapigiwa simu na mwanaume wake bado unakomaa tu we jamaa wewe haupo serious kabisaaaa huwezi kumwacha kwani huyo mama yako mzazi ???? Mwache tafuta mwingine mwanaume umeumbwa na koromeo ili uweze kukabiliana na mambo mazito hivyo vifua mnadhani mmepewa vya show off??? Unapoambiwaga mwanaume unatakiwa kuwa na kifua ndio hii sasa .....jifanye kama hujui kilichotokea we mpotezee tu ....mwanamke kama hakupendi Hata ufanyaje ni kazi bureeeeeee

Sent using Jamii Forums mobile app

Daah hii comment yako nimeisoma saizi saa01:25usiku nimecheka hadi panya wameanguka..

Huyu jamaa anafeli padogo sana ila kwa maelezo yake ni mtu hatari sana pia anajitahidi kuonesha uanaume sio kukurupoka bali kutumia akili..
Amesema alikuwa anataka kuujua ukweli ila hajaelezea ni kwanini alikuwa anataka kuujua ukweli!!!

Kijana wangu kama siku nyingine ukikutana na mwanamke kama huyo na kwenye situation kama hiyo unachotakiwa kufanya ni kujifanya mjinga zaidi alafu unaongeza mahaba mazito balaa hakikisha unampetipeti hadi anashika mimba yako.
Endelea kujifanya rofa hadi pale mtoto atakapo zaliwa,
Mtoto akishazaliwa unaachana na huyo mwanamke
Usione masingle mother wanazurula mtaani usenge wao huo ndio mana tuna wafanyie hivyo..

Option ya pili baada ya kuyajua hayo iligakiwa umuache kimya kimya usijibu sms wala kupokea simu zake
Tafuta mwanamke mwingine anzisha penzi upya maisha yaendeleee..

NIKWAMBIE TU UKWELI HAPA DUNIANI HATA SIKU IKITOKEA GHAFLA WAKAFA MARAIS 10 KWA SIKU MOJA AMINI DUNIA HAIWEZI KUSIMAMA MAISHA YATAENDELEA TU
 
Endelea kungangania huyo demu ili wakutoe meno au wale tigo fasta
Wakuu kwanza poleni na majukumu ya siku. Kiukwel mwenzenu nipo katika hali ngumu, nilikuwa kwenye mahusiano na dada mmoja takribani mwaka umeisha. Sasa toka mwaka uanze amekuwa mtu wa vituko sana, nikaamua kupeleleza kimyakimya ila sikufanikiwa, kunà siku moja nilitumiwa msg na mtu kuwa niachane na huyo dada ila nikaipuuzia, sasa last week nikaenda kwake nikiwa hapo akampigia mtu simu katika maongezi ni kama walikuwa wanapanga mwezi wa kubeba ujauzito, aliongea muda mrefu na baada ya mazungumzo nikamuuliza alikuwa anaongea navnani, akanijibu ni rafiki tu niyapuuzie coz uwa wanataniana, ofcoz nilimbana sana kwa maswali lakini nikawa nimehisi jambo, jana nikamchukua rafiki yangu tukaenda ili aniweke wazi kwasababu tokabmwaka uanze simuelewi, kiukweli alikiri aliyoyaongea na huyo kaka na akasema yupo nae kwenye mahusiano kitambo sana ata kazi alimuunganishia yeye hivyo pia ngumu kutengana nae, wakuu niliona kama utani vile nikaanza kumbembeleza asifikie hatua hiyo ila akakomaa na msimamo wake, sie tukaondoka nakumbuka usiku nimemtumia msg nyingi sana za kuonyesha jinsi gani ana thamani kwangu, cha kusikitisha kascreen msg then akamtumia Mike ambaye ni mtu wake kama alivyodai, Mike kachukua namba akanipigia simu leo mchana kuwa niachane na huyo binti kwani ni mchumba wake na ni jukumu lake, kusema ukweli nilimjibu mshkaji sorry bro sikujua japo moyoni kimeniuma kupita kiasi, sina amani ata kidogo, naombeni ushauri tu nichukue harua gani, maana ksemà kweli bado sijaridhika, au na mimi nimthibitishie Mike kuwa nilikuwa nae kwenye mahusiano?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakuja kwako nakuta upo unaongea na msela lini mmbebeshane mimba?,

Mimi naondoka nafata rafk angu tunakuja kikao, anasema kweli ana msela??

Natuma msg za kulia lia, ana screenshoot anamtumia msela, then jamaa ananipigia simu?

Hafu nakuja JamiiForums kuomba ushauri...???

🤣🤣🤣🤣🤣🤣...

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wakuu kwanza poleni na majukumu ya siku. Kiukwel mwenzenu nipo katika hali ngumu, nilikuwa kwenye mahusiano na dada mmoja takribani mwaka umeisha. Sasa toka mwaka uanze amekuwa mtu wa vituko sana, nikaamua kupeleleza kimyakimya ila sikufanikiwa, kunà siku moja nilitumiwa msg na mtu kuwa niachane na huyo dada ila nikaipuuzia, sasa last week nikaenda kwake nikiwa hapo akampigia mtu simu katika maongezi ni kama walikuwa wanapanga mwezi wa kubeba ujauzito, aliongea muda mrefu na baada ya mazungumzo nikamuuliza alikuwa anaongea navnani, akanijibu ni rafiki tu niyapuuzie coz uwa wanataniana, ofcoz nilimbana sana kwa maswali lakini nikawa nimehisi jambo, jana nikamchukua rafiki yangu tukaenda ili aniweke wazi kwasababu tokabmwaka uanze simuelewi, kiukweli alikiri aliyoyaongea na huyo kaka na akasema yupo nae kwenye mahusiano kitambo sana ata kazi alimuunganishia yeye hivyo pia ngumu kutengana nae, wakuu niliona kama utani vile nikaanza kumbembeleza asifikie hatua hiyo ila akakomaa na msimamo wake, sie tukaondoka nakumbuka usiku nimemtumia msg nyingi sana za kuonyesha jinsi gani ana thamani kwangu, cha kusikitisha kascreen msg then akamtumia Mike ambaye ni mtu wake kama alivyodai, Mike kachukua namba akanipigia simu leo mchana kuwa niachane na huyo binti kwani ni mchumba wake na ni jukumu lake, kusema ukweli nilimjibu mshkaji sorry bro sikujua japo moyoni kimeniuma kupita kiasi, sina amani ata kidogo, naombeni ushauri tu nichukue harua gani, maana ksemà kweli bado sijaridhika, au na mimi nimthibitishie Mike kuwa nilikuwa nae kwenye mahusiano?
huyo ningekuwa n mm namwekea huyo dem lutambulilo! kila atakae mvulia chupi, tutakutana nae ahela!! atarud tu kwa kidume!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah hii comment yako nimeisoma saizi saa01:25usiku nimecheka hadi panya wameanguka..

Huyu jamaa anafeli padogo sana ila kwa maelezo yake ni mtu hatari sana pia anajitahidi kuonesha uanaume sio kukurupoka bali kutumia akili..
Amesema alikuwa anataka kuujua ukweli ila hajaelezea ni kwanini alikuwa anataka kuujua ukweli!!!

Kijana wangu kama siku nyingine ukikutana na mwanamke kama huyo na kwenye situation kama hiyo unachotakiwa kufanya ni kujifanya mjinga zaidi alafu unaongeza mahaba mazito balaa hakikisha unampetipeti hadi anashika mimba yako.
Endelea kujifanya rofa hadi pale mtoto atakapo zaliwa,
Mtoto akishazaliwa unaachana na huyo mwanamke
Usione masingle mother wanazurula mtaani usenge wao huo ndio mana tuna wafanyie hivyo..

Option ya pili baada ya kuyajua hayo iligakiwa umuache kimya kimya usijibu sms wala kupokea simu zake
Tafuta mwanamke mwingine anzisha penzi upya maisha yaendeleee..

NIKWAMBIE TU UKWELI HAPA DUNIANI HATA SIKU IKITOKEA GHAFLA WAKAFA MARAIS 10 KWA SIKU MOJA AMINI DUNIA HAIWEZI KUSIMAMA MAISHA YATAENDELEA TU
Aaaaah nooooo wewe unamshauri vibaya endapo atampa mimba then amtelekeze atakae kuja pata tabu ni mtoto ambae hana hatia ....na ni dhambi kiukweli kufanya hivyo cha msingi amuache tu apige moyo konde atampata mwingine cha msingi awe makini kuchagua huyo mwingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafuta pesa, achana na hayo mambo ya kipuuzi.
 
Back
Top Bottom