Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,618
- 33,475
Ahsante mkuu,naimani mambo yataenda tu sawa
ndio,utampata mwingine,na Maisha yataenda poa tu....
Ahsante mkuu,naimani mambo yataenda tu sawa
Basi endelea kuwekeza katika akili za wanawake hadi ujiue sawa dogo..??Siukumbuki boss
Maisha ni safari ndefundio,utampata mwingine,na Maisha yataenda poa tu....
Jambo usilolijua ni kama usiku wa kizaBasi endelea kuwekeza katika akili za wanawake hadi ujiue sawa dogo..??
Nashukuru mkuuJibu ulilomjibu ni zuri sana na jikaza tu..we endelea na maisha yako
Wa sangara
Dah 'bro' haya sasa matusi hakyanani [emoji52]Hakuna kitu nachukia kama mwanaume asiyejua kusimamia nafasi yake na kuonesha 'uanaume' wake kwa mwanamke wake..!!
Mpaka mwanamke anaweza zungumza na simu na mwanaume mwingine mbele yako walaqhii' kakuona bonge ya lofa.!!
Hayo uliyonayo siyo mapenzi bali ni ujinga Mkuu.!!
Mkuu, Pole sana mpaka umenipa cheo cha u 'Bro'..??Bro kupiga sithubutu ata siku moja na niliamua kujifanya mjinga ili nilijue ukweli wake
Yo broo [emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu, Pole sana mpaka umenipa cheo cha u 'Bro'..??
Kweli mapenzi upofu.!! Sijazungumzia kumpiga hapana, namaanisha alikwisha kudharau kuna mahali ulimuonesha udhaifu..
Charlie mdogo wangu,Dah 'bro' haya sasa matusi hakyanani [emoji52]
Charlie, please spare my ribs nimecheka kifala.!!😅😅😅Yo broo [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Charlie mdogo wangu,
Mapenzi ni ukichaa usiombe yakukute..!![emoji28][emoji28]
Em lala bana acha kucheka saizi utaamsha watoto na asubuhi wanatakiwa wawahi skuli.Charlie, please spare my ribs nimecheka kifala.!![emoji28][emoji28][emoji28]
Kwahiyo umeamua kunizibia riziki humu siyo.?? Waambie kabisa nina watoto wangapi..!!Em lala bana acha kucheka saizi utaamsha watoto na asubuhi wanatakiwa wawahi skuli.
[emoji16][emoji16][emoji16] siwaambii ng'o acha kwanza wafall in love alafu waje kuleta nyuzi hapa ili jukwaa lisikose mada za kujadili.Kwahiyo umeamua kunizibia riziki humu siyo.?? Waambie kabisa nina watoto wangapi..!!
Hahahaaa hii comment asipoelewa basi naenda kulala sasa.Usichoridhika nacho hapo kitu gani???? Hivi mnashindwaje kuukubali ukweli??? Yaani mpaka unapigiwa simu na mwanaume wake bado unakomaa tu we jamaa wewe haupo serious kabisaaaa huwezi kumwacha kwani huyo mama yako mzazi ???? Mwache tafuta mwingine mwanaume umeumbwa na koromeo ili uweze kukabiliana na mambo mazito hivyo vifua mnadhani mmepewa vya show off??? Unapoambiwaga mwanaume unatakiwa kuwa na kifua ndio hii sasa .....jifanye kama hujui kilichotokea we mpotezee tu ....mwanamke kama hakupendi Hata ufanyaje ni kazi bureeeeeee
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeandika kwa hasira mno ....sisi wanawake angalau ndiyo tunatakiwa kulialia kwenye mapenzi eti mwanaume hapa anajiliiiza oooh anapanga plan ya mimba Sijui boy wake kanipigia ..mfyuuuu mwanaume gani analialia ukute ndiyo maana Hata bi dada kaamua kumcheat sababu huyu dhaifu....mwanaume ugangamale sio legelege kama tambi zilizopikwa
Inachoma kama pasi
Duh aseee [emoji58]Nimeandika kwa hasira mno ....sisi wanawake angalau ndiyo tunatakiwa kulialia kwenye mapenzi eti mwanaume hapa anajiliiiza oooh anapanga plan ya mimba Sijui boy wake kanipigia ..mfyuuuu mwanaume gani analialia ukute ndiyo maana Hata bi dada kaamua kumcheat sababu huyu dhaifu....mwanaume ugangamale sio legelege kama tambi zilizopikwa
Sent using Jamii Forums mobile app