Mama Nehemiah
JF-Expert Member
- Sep 9, 2018
- 275
- 475
Kufanya kazi sekta isiyo rasmi yakutaka uwe na macho matatu!.hata kama una mkataba wa kazi.
Akimaluza asikilize wimbo wa nidhamu ya kazi ni msingi wa mafanikio mema kazini wa msondoJust relax. Sikiliza wimbo wa jamaa anaitwa Don Moen, God will make the way na mwingine I am the God that healeth thee. Just meditate on them
Nd yangu hawa wahindi sio waajiri wazuri wameenda mpka hospital kuthibitisha kama kweli nilikuwa naumwa waka thibitishiwa kuwa ni kweli kabisa lakin bado hawa elewi wamenitafta wanani bembeleza ni resign mwenyewe ili wanipe mshahara wa mwezi mmoja
Kataa katakata kuresign na itunze barua ya kufukuzwa kazi.Nd yangu hawa wahindi sio waajiri wazuri wameenda mpka hospital kuthibitisha kama kweli nilikuwa naumwa waka thibitishiwa kuwa ni kweli kabisa lakin bado hawa elewi wamenitafta wanani bembeleza ni resign mwenyewe ili wanipe mshahara wa mwezi mmoja
Habari ndugu,
Kuna kampuni moja ambayo nilikuwa nafanya nayo kazi ila sikwenda kazini siku tatu baada ya kuugua ghafla nilipewa ED na daktari ya siku tatu baada ya kumpa taarifa boss wangu akanisimamisha kazi, hatimae leo amenifukuza kazi bila barua.
Nimemuomba angalau anisaidie ili nirudishe familia yangu waliponitoa wamegoma.
Ushauri jamani, mkataba wangu unaisha October 2021
Kataa katakata kuresign na itunze barua ya kufukuzwa kazi.
Nenda kafungue shauri.
1. Utalipwa mishahara yako yote.
2. Dai hela ya kujikimu kwa siku zote ambazo haupo kazini maana walikutoa mkoa mwingine.
3. Watakulipa faini
Mzee hapo una vimilioni kadhaa....
Bro nenda Ministry of Labour pale ukatoe malalamiko yakoHabari ndugu,
Kuna kampuni moja ambayo nilikuwa nafanya nayo kazi ila sikwenda kazini siku tatu baada ya kuugua ghafla nilipewa ED na daktari ya siku tatu baada ya kumpa taarifa boss wangu akanisimamisha kazi, hatimae leo amenifukuza kazi bila barua.
Nimemuomba angalau anisaidie ili nirudishe familia yangu waliponitoa wamegoma.
Ushauri jamani, mkataba wangu unaisha October 2021
Okay nimeona hapo.... Ila aende kufungua shauri...Mkuu umesoma vizuri shauri la mleta mada ukalielewa vizuri...?