Naombeni ushauri nimeadhirika na punyeto

Naombeni ushauri nimeadhirika na punyeto

Mkaka miaka 10 unajifanya mwenyewe jamani, ulishindwa nini kutafuta hata dada poa, mbona wanawake tupo wengi tu, pole

akitafuta dada poa mtamkandia pia loh. alafu unasema tuu wadada mpo wengi , ila ukumbuke papuchi zenu zina price tag, nyeto haina
 
Kaka pole, ila nami naungana Na washauri waliopita. Kula vizuri vyakula asili Na jipe likizo ya siku hata 89 hivi. Utarudi hapa kushukuru.
zingatia ushauri unaotoa ana mke huyo,unataka mke aende wap?
 
Wapendwa JF nawasalimu,

Kwanza kabisa nishukuru waasisi wa JF na memba wote, naimani kubwa nitapata msaada humu kwa kua kabla ya kua member nimekua nikifuatilia makala na mada moto moto na baadhi zimetoa masuluhisho ya kudumu katika baadhi ya changamoto.
Nina umri wa miaka 35, naombeni msaada wenu kujua dawa ya kutibu mtu aliethirika na punyeto, uume wangu umelegea na hauwezi kufanya kazi kwa ufanisi, nikifanikiwa kufanya tendo la ndoa ni mara moja tu basi siwez kurudia tena mpaka baada ya masaa 10 yani kesho, ikumbukwe nimeoa na hii inanisumbua sana katika ndoa yangu, mke wangu amekua muelewa sana juu ya mimi kutomridhisha lakin anahisi mimi ninawanawake wengine, tatizo hili la kupiga punyeto nilidumu nalo kwa muda wa miaka 10 kabla ya kuacha kwa tabu sana na kuoa, naombeni usaada wenu juu ya vyakula au dawa za kurudisha uwezo wangu wa tendo la ndoa japo haitokua kama mwanzo.
Kumchoka mwanamke kunachangia abdala kichwa wazi kulala ovyo..embu jaribu kuchepuka..alafu utatupa mrejesho
 
Inabidi sasa serikali itangaze hali ya hatari.
Kama tayari umeacha ni vizuri sana, ila kitu cha msingi fanya mazoezi,kula chakula kizuri na jiamini.

NB:Usijaribu kutumia dawa za kuongeza nguvu za kiume utaongeza tatizo.
Mkuu /serikali si ndo mimi na wewe ,unataka serikali gani tena?
 
Wapendwa JF nawasalimu,

Kwanza kabisa nishukuru waasisi wa JF na memba wote, naimani kubwa nitapata msaada humu kwa kua kabla ya kua member nimekua nikifuatilia makala na mada moto moto na baadhi zimetoa masuluhisho ya kudumu katika baadhi ya changamoto.
Nina umri wa miaka 35, naombeni msaada wenu kujua dawa ya kutibu mtu aliethirika na punyeto, uume wangu umelegea na hauwezi kufanya kazi kwa ufanisi, nikifanikiwa kufanya tendo la ndoa ni mara moja tu basi siwez kurudia tena mpaka baada ya masaa 10 yani kesho, ikumbukwe nimeoa na hii inanisumbua sana katika ndoa yangu, mke wangu amekua muelewa sana juu ya mimi kutomridhisha lakin anahisi mimi ninawanawake wengine, tatizo hili la kupiga punyeto nilidumu nalo kwa muda wa miaka 10 kabla ya kuacha kwa tabu sana na kuoa, naombeni usaada wenu juu ya vyakula au dawa za kurudisha uwezo wangu wa tendo la ndoa japo haitokua kama mwanzo.
saga kitunguu saumu gm100 na tangawizi gm 200 chemsha maji yake litre( 2) hadi zibakie 1.5 unywe nusu glasi asubuhi na jioni hadi yaishe au tafuta majani makavu ya mlonge gm 200 yakaushe yasage chemsha na maji ya litre 1.5 kunywa nusu glas asubuh na jioni kwa muda wa week 1
unaweza kufanya zote 2

ukichemsha hizo dawa nyngi unaweza kupaka uuume wako kidogo asubuh na jioni

masharti

usichue/kufanya mapenzi kwa muda ule unaotumia dose
siku ukifanya naye tena badili mazingira uliyoyazoea
waeza fanyia sebuleni au chini(sio kitandani) hiii inasaidia kisychology

NB;Mlonge na dawa nyingne za asili ntext nkuunge na mtu anaziuza
 
mhm...mie mbona nashindwa kuelewa kitu kuhusu punyeto....mbona mie napiga nyeto mwaka wa 20 sasa lakini nikiingia kwa game nikimaliza goli ndani ya dakika tano ngoma inasimama tena...nyie wezangu inakuwaje mwashindwa kurudia mpaka masaa yapite...au wee mke wako sio mzuri?
piga kila siku kwa mwaka thn uje hapa...utafurahi mwenyewe stress lake
 
saga kitunguu saumu gm100 na tangawizi gm 200 chemsha maji yake litre( 2) hadi zibakie 1.5 unywe nusu glasi asubuhi na jioni hadi yaishe au tafuta majani makavu ya mlonge gm 200 yakaushe yasage chemsha na maji ya litre 1.5 kunywa nusu glas asubuh na jioni kwa muda wa week 1
unaweza kufanya zote 2

ukichemsha hizo dawa nyngi unaweza kupaka uuume wako kidogo asubuh na jioni

masharti

usichue/kufanya mapenzi kwa muda ule unaotumia dose
siku ukifanya naye tena badili mazingira uliyoyazoea
waeza fanyia sebuleni au chini(sio kitandani) hiii inasaidia kisychology

NB;Mlonge na dawa nyingne za asili ntext nkuunge na mtu anaziuza
Akizingatia ushauli wako mkuu tatizo litaisha fast naataleta mrejesho
 
Pamoja na kula vizuri na kufanya mazoezi ya nguvu.

Kaa miezi 3 bila kufanya tendo la ndoa,huku ukizingatia MSOSI safi na mazoezi.

Utakuja kuleta mrejesho hapa.

Nasisitizia miezi mitatu no kupiga mti ,maana unaanza dozi yenyeuhakika Wa TIBA 99.99
Labda ukiwa single kama mimi ,,,ila kwa alieoa tena kwa miezi mitatu consecutively!!!
 
nyeto ni noma ila kama una uhakika umeacha nyeto basi utapona ,cha pili ni kuondoa hofu iliyojengeka kwenye mwili wako kwamba huwezi kufanya mapenzi sasa kuna mtihani maana inabidi ukifundishe kichwa chako kuona uzuri wa mwanamke yaan usijiwazie ww kwenye mapenzi just feel her na control uoga,pumzika mapenzi kwa zaidi ya miezi 3 yaan usifanye kbs wala kuwaza ngono ni kipindi kigumu coz hisia zipo ila pipe majanga usitamani ht mkeo na umwambie kbs hiyo plan..sasa madhara ya punyeto haiponi kwa kula vzr tu na pili km uliweza kuharibu kiungo chako miaka kumi je kinawezaje kupona kwa week moja?jibu ni subra ni mhm....ngumu kumeza ni kwamba asilimia 85 ya madokta wa tiba mbadala hawana uwezo wa kutibu madhara ya punyeto yaan include dr.mwaka ila kama unataka poteza hela NENDA na mtu akikuuzia dawa ya kutibu punyeto kwa week 3 kushuka chini kataaa hautapona...dawa ya tatizo lako ni zaidi ya faraja unazopata humu ni zaidi ya kula vzr ....nini nakushauri mimi kwa uzoefu wangu acha ngono kwa miezi miwili huku unakula vzr na mazoezi kdg thn ni PM ntakupa ramani flan hv ya kutokea ila ngono na kudinda dinda uwe umeacha kwa mwezi miwili hv 2
 
Kuna vitu ambavyo tunapaswa kivijua na kuweza kuvitumia na vitu ambavyo affordable kwa kila mtu kwani gharama zake ni cheap sana,kwa kila mwenye tatizo na kama huna matatizo unaweza kuutumia mchanganyiko huu kwa kila siku lakini kuutumia kila siku sio lazima ila ningeshauri utumie kwa siku 7 za mwanzo mfululizo.

Mchanganyiko huu ni tiba kwa maradhi mbalimbali ikiwemo na matatizo ya kiakili (social psychological disorders) kama haya na mengineyo lakini pia mchanganyiko huu wa vitu ambavyo vipo katika maisha yetu ya kila siku yataimarisha misuli yako katika kila kiungo cha mwili wako hivyo kila penye madhaifu pataimarika.Huu mchanganyiko unaweza ukaupata popote pale ulipo ila itakuwa sokoni zaidi,mchanganyiko huo ni kama ifuatavyo ila hata kama utaambiwa hii ni dawa usiogope kwani hii ni dawa kwa wenye matatizo na ni kinga kwa wasiokuwa na matatizo.

Na hii ndio siri kubwa ya watu wenye imani fulani kuwa na mademu wengi na kutoyumbishwa kabisha kwa upande wa bara lakini kama uko pwani basi vitu vyote veynye asili ya bahari ukiwa unakula mara kwa mara ni vizuri kwa afya yako na kuhifadhi na kulinda maumbile yako ambayo ni ya asili.Mchanyiko wenyewe ni kama ufuatao Nunua pakiti mbili za kila cha hapo chini kwa gharama ya 1000 yaani 500 kwa kila kimoja ILA KIWE CHA UNGA ili kiweze kuchanganyika.
1.TANGAWIZI
2.IRIKI
3.PILIPILI MTAMA
4.MDALASINI
5.KARAFUU
na kisha ukanunue na ABATSODA NAYO PIA NUNUA YA UNGA KWA GHARAMA YA 1000.

Kisha changanya huo muunganiko na kisha anza kutumia mchanganyiko huu kama chai badala ya kuweka majani ya chai weka huo mchanganyiko kwa robo ya kijiko au chini ya robo ya kijiko ila hakikisha maji ya moto ambayo utayatumia kama chai yanapata rangi kutokana na mchanganyiko huo.

JARIBU KUFANYA HIVYO ILI UONE MIUJIZA YA VIUNGO VYA PILAU NA ABATSODA.
HII NI KWA WOTE WANAWAKE NA WANAUME WAGONJWA NA WAZIMA ILA INASHAURIWA SANA KWA WALIOOA ILI KUEPUSHA MADHARA ZAIDI YA PUNYETO NA UBAKAJI MITAANI.

NB: MIMI SIO MGANGA WA KIENYEJI ILA KATIKA USOMAJI WANGU NILIIKUTA HII NA IMENIFANYA NIWE NA UWEZO WA KUPIGA BAO MPAKA 6 NDANI YA USIKU MMOJA,SIJAWAHI KUEXPERIENCE MATOKEO HASI YAKE TANGU NIANZE KUTUMIA NIKIWA NA MIAKA 20 NA SASA NINA MIAKA 28 NA NINA WATOTO 2 NA MKE HALALI MMOJA NA MICHEPUKO
MITATU.
 
Pole sana.
Tatizo sio misuli ya penis bali kuna athari kwenye nerve system.
Muscles za penis haziathiriki kwa Masturbation ila zinathirika na kupoteza uwezo wake kwa athari zinazotokea kwenye nerve system kutokana na kitendo cha Masturbation.
Kama ukifanya Masturbation uume huwa hausimami na kukaza?
Ili kuthibitisha nilichoandika hapo jaribu kufanya Masturbation ili uone.
Unahitaji tiba ya mfumo wako wa nerve na sio issue ya misuli ya uume.
 
Back
Top Bottom