Naombeni ushauri nimeadhirika na punyeto

Naombeni ushauri nimeadhirika na punyeto

wee nyeto ulikuwa unapiga kwa style gani labda tuanze hapo. kama ulikuwa watumia mkono wa kulia kupiga nyeto basi hiyo itakuwa sababu
Nikweli nimekua nikitumia mkono wa kulia, sijawahi kutumia mkono wa kushoto langu niijue punyeto
 
Pole sana ndugu, ila sidhani kama kuna dawa yakutibu tatizo hilo zaidi ya wewe mwenyewe kutashauri nakuamua kuacha kabisa,

Zipo njia zakufuata ambazo zinaweza kukusaidia kuacha nazo ni:

Pendelea kujichanganya na watu,

Fanya mazoezi kwa sana

Kunywa maji mengi

Kula vyakula kama karanga nk

Mboga za majani usisahau katika mlo wako wa kila siku
thanks
 
Mkuu pole sana. Sishauri na huwa siafiki matumizi ya madawa kwa ajili ya kuongeza nguvu au hamu ya tendo la ndoa.

Kuna baadhi ya vyakula hasa vya asili, mbogamboga, matunda na mbegu kama karanga, korosho, nk. Pendelea kutumia juice ya tende + maziwa fresh + asali mbichi.
 
basi jibu ndio hilo kaka...ukitumia mkono wa kulia lazima hayo yatokee kaka. hamna namna ishakula kwako.
naomba unieleweshe vizur mana cjakuelewa, lakn pia ni faida kwa wasiojua
 
Jitaaid to kula vizuri na mazoez maji mengi utakua fresh alaf ukiwa kwenye show usiwe na hof ya kushindwa jiamin ila usitumie madonge ya kuongeza nguvu we kunywa maji mengi kabla ya show angalau ata karita kamoja alaf ingi kwenye show utaona mabadiriko
 
Mkuu pole sana. Sishauri na huwa siafiki matumizi ya madawa kwa ajili ya kuongeza nguvu au hamu ya tendo la ndoa.

Kuna baadhi ya vyakula hasa vya asili, mbogamboga, matunda na mbegu kama karanga, korosho, nk. Pendelea kutumia juice ya tende + maziwa fresh + asali mbichi.
Asante Mkuu kwa ushaur makini
 
Pole sana kaka, kula vyakula vya asili vya kisukuma uone kama network itakata tena, mimi pia niliathirika na punyeto ila yangu ilikua more Advanced maana nilipiga bila sabuni wala kitu chcht ndo maana nacharaza magori ya kutosha tu, nimepractice tangu 2003 mpaka leo lkn nikikamata mke lazma aombe pooo...

Kula msos asili km
ugal dona,
mihogo mchemsho
Mbogamboga
Matunda
Shushia konyagi unapoingia kwenye ligi uone utakavyotiririka
Teh teh hivi konyagi inafanya kaz eeh??
 
Pamoja na kula vizuri na kufanya mazoezi ya nguvu.


Kaa miezi 3 bila kufanya tendo la ndoa,huku ukizingatia MSOSI safi na mazoezi.

Utakuja kuleta mrejesho hapa.

Nasisitizia miezi mitatu no kupiga mti ,maana unaanza dozi yenyeuhakika Wa TIBA 99.99
Ushaur mzur lakin nina mke ndani, miez mitatu bila kumgusa ndoa itaota mbawa
 
mhm...mie mbona nashindwa kuelewa kitu kuhusu punyeto....mbona mie napiga nyeto mwaka wa 20 sasa lakini nikiingia kwa game nikimaliza goli ndani ya dakika tano ngoma inasimama tena...nyie wezangu inakuwaje mwashindwa kurudia mpaka masaa yapite...au wee mke wako sio mzuri?
Mi. Mwenyewe najiuliza hizo punyeto wanapigaje?? Nafikiri ni tatizo la kisaikolojia zaidi!!
 
Wapendwa JF nawasalimu,

Kwanza kabisa nishukuru waasisi wa JF na memba wote, naimani kubwa nitapata msaada humu kwa kua kabla ya kua member nimekua nikifuatilia makala na mada moto moto na baadhi zimetoa masuluhisho ya kudumu katika baadhi ya changamoto.
Nina umri wa miaka 35, naombeni msaada wenu kujua dawa ya kutibu mtu aliethirika na punyeto, uume wangu umelegea na hauwezi kufanya kazi kwa ufanisi, nikifanikiwa kufanya tendo la ndoa ni mara moja tu basi siwez kurudia tena mpaka baada ya masaa 10 yani kesho, ikumbukwe nimeoa na hii inanisumbua sana katika ndoa yangu, mke wangu amekua muelewa sana juu ya mimi kutomridhisha lakin anahisi mimi ninawanawake wengine, tatizo hili la kupiga punyeto nilidumu nalo kwa muda wa miaka 10 kabla ya kuacha kwa tabu sana na kuoa, naombeni usaada wenu juu ya vyakula au dawa za kurudisha uwezo wangu wa tendo la ndoa japo haitokua kama mwanzo.
Mkaka miaka 10 unajifanya mwenyewe jamani, ulishindwa nini kutafuta hata dada poa, mbona wanawake tupo wengi tu, pole
 
Inabidi sasa serikali itangaze hali ya hatari.
Kama tayari umeacha ni vizuri sana, ila kitu cha msingi fanya mazoezi,kula chakula kizuri na jiamini.

NB:Usijaribu kutumia dawa za kuongeza nguvu za kiume utaongeza tatizo.
Serekali mtaiuwa jamani ya Bukoba tu yamewashinda.. Mnataka muibebeshe na mzigo wa punyeto!!
 
Kaka pole, ila nami naungana Na washauri waliopita. Kula vizuri vyakula asili Na jipe likizo ya siku hata 89 hivi. Utarudi hapa kushukuru.
 
Back
Top Bottom