Squidward
JF-Expert Member
- Jul 21, 2014
- 8,390
- 10,465
KAKA POLE SANA CHA MSINGI JARIBU KUWAONA WATU WA SAIKILOJIA WATAKUSAIDIA SANA
ushauri mzuri sana auchukue na aufanyie kazi.
KAKA POLE SANA CHA MSINGI JARIBU KUWAONA WATU WA SAIKILOJIA WATAKUSAIDIA SANA
KAKA POLE SANA CHA MSINGI JARIBU KUWAONA WATU WA SAIKILOJIA WATAKUSAIDIA SANA
Mkuu nna tatzo kama hili kutokana na punyeto uume hausimam kabsa hata jana nmeshndw kupga show..... Naanza doz hii ss hv eeee mwnyz mungu nisaidieHechinodemata. Tatizo la nyeto husababisha kitu kikubwa kimoja ambacho ni kuharibikiwa kisaikolojia. Ukipiga nyeto unaudanganya mwili kuwa upo na demu fulani. Ukimchoka unahamia kwa mwingine. Hivyo akili huzoea kuwa na mademu kibao unaobadili kila unapohitaji Kufanya hivyo.
Unapopata mke ama demu wa muda mrefu, huwa unamchoka haraka, kwasababu akili haijazoea kukaa na demu mmoja kwa muda mrefu. Hapo utashindwa Kufanya nae mapenzi ipasavyo.
Tatizo la pili dogo, ingawa kwa Wengine huwa kubwa ni kuathiri mishipa ya Yule(erector mascles). Uume hupoteza nguvu hivyo kushindwa Kufanya mapenzi, ama Kufanya mara moja tu na kushindwa kusimama tena mpaka baada ya mapumziko ya muda mrefu.
Utatuzi
1.Tangawizi mbichi
2.Limao
3.Asali
Zimenye tangawizi zako ujazo wa kiganja kimoja ama viwili,kisha zitwange kwenye kinu mpaka zilainike kabisa. Kata malimao matano ama sita na kukamulia kwenye kinu chenye tangawizi. Chuja mchanganyiko wa limao na tangawizi kupata juice. Changanya asali kwenye juice yako uliyochuja.
Juice hii huwa Strong, hivyo kunywa vijiko viwili asubuhi na viwili jioni. Ukiweza kunywa hata vijiko viwili kutwa mara tatu kulingana na ratiba yako kazini.
Kama pia unataka kuongeza na wingi wa manii na mbegu za kiume, pendelea kula karanga mbichi.
Hii ni tiba asilia na sahihi ya tatizo hilo, kwasababu huongeza hamu ya tendo na pia huimarisha mishipa na misuli ya Uume. Haina madhara hata kidogo kwasabu ni tiba inayohusu vyakula. Na vitu vyote vinapatikana kirahisi. Tangawizi mbichi Ziko sokoni na magengeni, pia malimao yanapatikana kirahisi. Na hata asali. Wala usijisimbue Sijui asali ya nyuki gani, mara Sijui asali mbichi!!! Hapana, wewe nunua asali yoyote.
Jambo jingine la kisaikolojia unaweza kuongezea, mkeo awe mtundu kidogo. Wanaume tuna tamaa. Ukipita barabarani ukamwona mdada kavaa kimini, hata kama utajifanya kumponda lakini Kiukweli anakuwa kakutikisa. Ama akivaa ile half breast ! Matiti unayaona nusu, lazima unapagawa. Vitu hivyo wake zetu hawatufanyii Home. Inabidi siku nyingine unamkuta wife kapiga kimini, siku nyingine kapiga half breast, siku nyingine anakuvalia kanga, ikiwezekana kanga moja. Hapo utamwona mpya na kukupa hamasa kupiga mechi. Mkimaliza anaweza kupiga kanga akajifanya kuandaa kitu fulani huku akiwa kwenye upeo wa macho yako. Kumuangalia tu! Utajikuta unamwita arudi kitandani.
Sumu kubwa kwa mwanaume ni kulaumiwa na mpenzi ama mke kuwa hajamridhisha. Mwanaume akiambiwa hivyo huathirika kisaikolojia. Hujenga hofu ya kushindwa Kufanya mapenzi na Yule aliyemlaumu kwa dhana kuwa atashindwa. Mke anatakiwa asioneshe kumlaumu mumewe kuwa kashindwa. Anatakiwa ampe hamasa. Awe mbunifu.
Kiongozi, ukifuata haya utaniambia baada ya siku si zaidi ya wiki kuwa unatishaaaaaaaaa!. Wakati unatumia dawa maisha yako ya kimapenzi yaendelee kama kawaida, ila pombe usinywe(ukinywa hutakufa ila utaathiri dawa).
Faida nyingine za dawa hii ni:
1.Tiba mujarabu ya kikohozi na mafua
2.Tiba ya kupunguza mafuta mwilini
3.Huzuia kisukari
4.Ukitumia dawa hii na kula karanga mbichi , huongeza manii na mbegu za kiume
Nanyi! chuo bado hamjaenda? tumechoka na mada zenu za punyetoWapendwa JF nawasalimu,
Kwanza kabisa nishukuru waasisi wa JF na memba wote, naimani kubwa nitapata msaada humu kwa kua kabla ya kua member nimekua nikifuatilia makala na mada moto moto na baadhi zimetoa masuluhisho ya kudumu katika baadhi ya changamoto.
Nina umri wa miaka 35, naombeni msaada wenu kujua dawa ya kutibu mtu aliethirika na punyeto, uume wangu umelegea na hauwezi kufanya kazi kwa ufanisi, nikifanikiwa kufanya tendo la ndoa ni mara moja tu basi siwez kurudia tena mpaka baada ya masaa 10 yani kesho, ikumbukwe nimeoa na hii inanisumbua sana katika ndoa yangu,
Mke wangu amekua muelewa sana juu ya mimi kutomridhisha lakin anahisi mimi ninawanawake wengine, tatizo hili la kupiga punyeto nilidumu nalo kwa muda wa miaka 10 kabla ya kuacha kwa tabu sana na kuoa, naombeni usaada wenu juu ya vyakula au dawa za kurudisha uwezo wangu wa tendo la ndoa japo haitokua kama mwanzo.
Good na upo sahihi, infact tiba ni kuacha kabisa punyeto na ngono na chochote kinacholeta msisimko wa ngono kwa muda usiopungua miezi mitatu huku anakula vizuri na mazoezi mepesi. Baada ya hapo tatizo litakuwa limepungua kwa asilimia zaidi ya 60. Arudi kwenye mapenzi kwa adabu akifanya kila siku ataharibu healing process, ajitahidi asizidi mara moja kwa wiki katika miezi mitatu mingine, hapo healing itafikia angalau asilimia 75. From there miezi mitatu mingine asizidi sex mara mbili kwa wiki. Baada ya hapo atakuwa amepona tatizo kwa zaidi ya asilimia 90. Hiyo ndiyo tiba, hakuna tiba nyingine kwa waathirika wa punyeto, usidanganywe, tiba ni abstainance plus kula virutubisho. Na kwa kuwa ameoa, tiba hii lazima kumshirikisha mkewe maana ni sehemu ya matibabu na lazima akuvumilie ile miezi mitatu ya mwanzo ya kuto kufanya tendo kabisa na ile miezi mitatu ya Kwa wiki mara moja. Bila kumshirikisha mwenza huwezi kufaulu labda awe amesafiri kwa miezi sitanyeto ni noma ila kama una uhakika umeacha nyeto basi utapona ,cha pili ni kuondoa hofu iliyojengeka kwenye mwili wako kwamba huwezi kufanya mapenzi sasa kuna mtihani maana inabidi ukifundishe kichwa chako kuona uzuri wa mwanamke yaan usijiwazie ww kwenye mapenzi just feel her na control uoga,pumzika mapenzi kwa zaidi ya miezi 3 yaan usifanye kbs wala kuwaza ngono ni kipindi kigumu coz hisia zipo ila pipe majanga usitamani ht mkeo na umwambie kbs hiyo plan..sasa madhara ya punyeto haiponi kwa kula vzr tu na pili km uliweza kuharibu kiungo chako miaka kumi je kinawezaje kupona kwa week moja?jibu ni subra ni mhm....ngumu kumeza ni kwamba asilimia 85 ya madokta wa tiba mbadala hawana uwezo wa kutibu madhara ya punyeto yaan include dr.mwaka ila kama unataka poteza hela NENDA na mtu akikuuzia dawa ya kutibu punyeto kwa week 3 kushuka chini kataaa hautapona...dawa ya tatizo lako ni zaidi ya faraja unazopata humu ni zaidi ya kula vzr ....nini nakushauri mimi kwa uzoefu wangu acha ngono kwa miezi miwili huku unakula vzr na mazoezi kdg thn ni PM ntakupa ramani flan hv ya kutokea ila ngono na kudinda dinda uwe umeacha kwa mwezi miwili hv 2
Wapendwa JF nawasalimu,
Kwanza kabisa nishukuru waasisi wa JF na memba wote, naimani kubwa nitapata msaada humu kwa kua kabla ya kua member nimekua nikifuatilia makala na mada moto moto na baadhi zimetoa masuluhisho ya kudumu katika baadhi ya changamoto.
Nina umri wa miaka 35, naombeni msaada wenu kujua dawa ya kutibu mtu aliethirika na punyeto, uume wangu umelegea na hauwezi kufanya kazi kwa ufanisi, nikifanikiwa kufanya tendo la ndoa ni mara moja tu basi siwez kurudia tena mpaka baada ya masaa 10 yani kesho, ikumbukwe nimeoa na hii inanisumbua sana katika ndoa yangu,
Mke wangu amekua muelewa sana juu ya mimi kutomridhisha lakin anahisi mimi ninawanawake wengine, tatizo hili la kupiga punyeto nilidumu nalo kwa muda wa miaka 10 kabla ya kuacha kwa tabu sana na kuoa, naombeni usaada wenu juu ya vyakula au dawa za kurudisha uwezo wangu wa tendo la ndoa japo haitokua kama mwanzo.
Good na upo sahihi, infact tiba ni kuacha kabisa punyeto na ngono na chochote kinacholeta msisimko wa ngono kwa muda usiopungua miezi mitatu huku anakula vizuri na mazoezi mepesi. Baada ya hapo tatizo litakuwa limepungua kwa asilimia zaidi ya 60. Arudi kwenye mapenzi kwa adabu akifanya kila siku ataharibu healing process, ajitahidi asizidi mara moja kwa wiki katika miezi mitatu mingine, hapo healing itafikia angalau asilimia 75. From there miezi mitatu mingine asizidi sex mara mbili kwa wiki. Baada ya hapo atakuwa amepona tatizo kwa zaidi ya asilimia 90. Hiyo ndiyo tiba, hakuna tiba nyingine kwa waathirika wa punyeto, usidanganywe, tiba ni abstainance plus kula virutubisho. Na kwa kuwa ameoa, tiba hii lazima kumshirikisha mkewe maana ni sehemu ya matibabu na lazima akuvumilie ile miezi mitatu ya mwanzo ya kuto kufanya tendo kabisa na ile miezi mitatu ya Kwa wiki mara moja. Bila kumshirikisha mwenza huwezi kufaulu labda awe amesafiri kwa miezi sita
Serikali yenyewe ndio waathirika wanaohitaji msaadaserikali tena
Kama hayakukuta usiulize Bali asaidiwe.Maamuzi ya kwanza kupiga huo mziki ni yako mwenyewe kwani unaweza kuamua kukataa hizo fikira.Lakini ukirudia tena na tena ujue kuwa sio wewe unayetawala fikira zako Bali ni shetani na hapo huna uwezo wa kuacha tena.Amshukuru Mungu machale yalimcheza.Atapona na asimfiche mkewe yaliyomsibu na amshuru Mungu kwamba ameachaHow come wanawake wote hawa upige punyeto.
Ni kweli mkuu kuacha kupiga punyeto ndo tiba ya kwanza kabisa kwasbu tatizo kubwa uwa ni saikolojia kuathirika.Kuna ushuhuda humu JF ameandika jamaa mmoja NILIPONA PUNYETO KWA KUJIAMINI ebu google hayo maneno utakutana na ushuhuda murua sana huyo jamaa mwanzon anaanza kwa kusema yeye taaluma yake ni daktari na aliponyeshwa na nesi wake kitandani kwenye game. Ushuhuda mwingine humu JF search baba Rhobi huyu jamaa nae aliponeshwa na mdalasini na karafuu unga wake unachanganya na asali asubuhi na jioni unalamba vijiko viwili huyo jamaa anasimulia jinsi alivyoaibika mbele ya halima mabomu.i've been in that chama called chaputa for 7years sijawah acha mda mrefu kama sasa nina wiki mbil na siku moja bt the day nimekutana na real papuch kwa vile nilizoea kule nilifanya wonders kwa raundi ya pil kudumu pale juu kwa lisaa na madakika huwa nikijifoc kufika mwisho huwa ni dk kama arobain hv au nusu saa nina perfomance nzur kwa kwel .......sa nashindwa kuelewa madhara yanakujaje bt navyojua punyeto inalegeza misuli uume unakuwa hauna nguvu ila ukiacha mda mrefu unarud maala pake trust me piga zoezi la kutosha kunywa maji mengi utarud maala pake mm nazan ndo nilikuwa naongoza kwenda bao nyingi kwa cku kwa kupiga punyeto kwa cku huwa ata bao tano