Hechinodemata
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 1,487
- 3,356
Wapendwa JF nawasalimu,
Kwanza kabisa nishukuru waasisi wa JF na memba wote, naimani kubwa nitapata msaada humu kwa kua kabla ya kua member nimekua nikifuatilia makala na mada moto moto na baadhi zimetoa masuluhisho ya kudumu katika baadhi ya changamoto.
Nina umri wa miaka 35, naombeni msaada wenu kujua dawa ya kutibu mtu aliethirika na punyeto, uume wangu umelegea na hauwezi kufanya kazi kwa ufanisi, nikifanikiwa kufanya tendo la ndoa ni mara moja tu basi siwez kurudia tena mpaka baada ya masaa 10 yani kesho, ikumbukwe nimeoa na hii inanisumbua sana katika ndoa yangu,
Mke wangu amekua muelewa sana juu ya mimi kutomridhisha lakin anahisi mimi ninawanawake wengine, tatizo hili la kupiga punyeto nilidumu nalo kwa muda wa miaka 10 kabla ya kuacha kwa tabu sana na kuoa, naombeni usaada wenu juu ya vyakula au dawa za kurudisha uwezo wangu wa tendo la ndoa japo haitokua kama mwanzo.