Naombeni ushauri niko dilema

Naombeni ushauri niko dilema

Mmh mwandiko wako ngumu kusoma na kuelewa hapo hapo.

Sina ushauri maana una kesi ya ubakaji kwa huyo wa form four. Kujipendekeza kwenye familia ya rafiki yako kunakuponza,mazoea mabaya yaan kila weekend upo kiguu na njia kwa familia ya mwenzio kwann usianzishe yako!! Huna hata mwanamke wa kuzugia

Tafuta mwanamke wa kukuepusha na hilo janga,kiboko ya mwanamke ni mwanamke mwenyewe. Au kama vipi mpe dada yako simu akutoe kwenye huo msala wa kujitakia

Akuchukue wewe uwe wa kuzugia
 
Achana na mke wa rafiki yako, usijaribu kufanya anachotaka
 
Hao wanawake watakuwa aidha wairaki au warangi, mana ndo kawaida yao
 
Habari wana jukwaa hili pendwa
Nlilipotea kitambo kidogo more than one year kutokana na u busy mwingi si unajua mwanaume lazima upambane? ok now am back let go straight to the point.

Iko hivi nina rafiki yangu jirani mtaa wa pili tumezoena sana ikawa kila ikifika jumapili nakua naenda pale kwakwe tunapiga story huku tukipata moja baridi moja moto.Jamaa nyumani anaishi na mke pamoja na mashemeji zake wawili wakike na mke wake na mtoto mdogo wa umri kama mwaka moja na nusu hivi sasa ikawa pale ni kama nyumbani wakawa wamenizoea sana tatizo likitokea kama rafiki yangu hayupo ananipigia cm naenda mimi kawasaidia ndo ikawa hivo. kwa sababu mimi sio mtu wa kusafiri sana kama huyu rafiki yangu wa kufa na kuzikana mara nyingi nakua mkoa mmoja ndo mana ikitokea tuu tatizo naenda.

Sasa tatizo likaanzia hapa mdogo wa huyo mama akawa ananifanyia visa wewe mwisho wa siku nikajikuta nishamkula ndo ukawa mchezo wetuu kusema ukweli ni wazuri sana kuanzia dada mpaka wadogoo yaani daah mashalah tukaendelea huyu dent akafungua chuo akaenda chuo ila kila weekend anarudi home akawa anakuja getto tuna banjuka hatarii. Hee siku niliitwa pale kuna tatizo la short ya umeme lilitokea nyumba nzima kukawa hakuna umeme basi nikaenda bhna na tanesco waka solve tatizo .Gafla yule binti mwingine ambae atamwita mke wa jamaa yangu mamake mkubwa akaanza mozea nikasema hii balaa nikamuambia mimi siwezi kua na wewe akwa king'ang'anizi weee ikabidi nae nimgonge tuu ili asinisumbue ila nikamumbia asimwambie mwenzake akasema hatamwambia kwa hiyo nikawa nakula waote wawili mpka leo hawajuani . huyu kamaliza form 4 so mda mwingi alikua nyumbani tofauti na yule mwenzake alikua anasoma chuo anarudii tuu weekend.

Kubwa kuliko loote ni hili hapa ambalo ndo limenifanya nikaleta huu uzi hapa coz sina ata amani moyoni kutokana na mimi kuwa naenda pale mara kwa mara yule mtoto mdogo wa rafiki yangu alitokea kunizoea sana sasa kupitia yule mtoto mke wa jama nae akaanza kunizoea kusema ukweli namuheshimu sana tena sana sikutegemea kama na yeye ananitaka kimapenzi nilipata shock nusura nizimie but nilijakza kiume nikamuambia shemeji mimi siwezi kua na wewe kamwe namuheshimu sana rafiki siwezi kufanya hivo.Nilivomuambia hvo m kasirika sana akanambia lazima aniaribie kwa mme wake nikamuambia sawa tuu fanya utakalo ila mimi siwezi kua na wewe akanambia ananipa week moja nimpe jibu la kueleweka la si sivyo sitamsahau maisha yake yote daah. wakuu hapa nilipo naumiza kichwa hatari imebaki siku 2 tuu nimpe jibu

je ni haki kula dada mtu na wadogo zake wawili?
je ni haki kutembea na mke wa rafiki yako kipenzi ?
naombeni ushauri wapendwa ni mkasa mrefu sana sema nimefupisha tuu siwezi elezea kila kitu
Mkuu Huyo Dada atakuponza achanae endelea kumheshimu tu ila tatizo lako unaonekana Haujaoa ndo maana umefungua mlango huo Ushauri wangu Oa ili ufunge Huo mlango
 
na hapa ndo nazidi kujifunza kua ukitaka kumpata mwanamke jenga nae mazoea kwanza akuzeee,,utawavua sana
 
Usithubutu kumla huyo mke wa rafiki yako

Wala usitishike na hayo matisho yake.

Katika hilo kua na msimamo wa kiume.

Na uache kuchanganya hao wadogo zake. Chagua moja ubaki nae ama uachane na wote
 
Duh,,,,ndugu hicho kisa ndio kilinitokea kwa rafiki yangu alinidanganya yuko singo kumbe ananizunguka kwa mdgowangu wa form four bhna,,,nilikuja kustuka mpaka Leo n kama paka na mbwa,,maana niliwabamba live na msela akawa anaendelea kunidanganya
 
Bomu ulilolitega sasa karibu linalipuka, dawa ni kutoka nduki tu si vinginevyo.
 
Nikushauri tu mpigie mshkaji wako simu ongea nae kiume kuhusu swala la mkeo ila pia kuhusu swala la wadgo hap ushajitengenezea mipaka baina ya hiyo familia icho kitakukosti saana chamsingi wapotezee wote,,hizo ni tamaaa ulishindwa kuwa mvumilivu kama mshkaji alikuamini ivo hujamtendea haki urafik wenu ushaingia Bonge la kikwazo mda wwte kitalipuka n bora ungemwambia msela mapema kuwa kuna UA umeliona pale nyumbani kwake akikupa idhini sawa but hata sasa unaweza ukamwambia kiutaratibu umsikie anapokea VIP,,,,lkn hapo umemuoneshea jamaa zarau za hali ya juu,,,WADADA WENGI NDIO CHANZO CHA KUUVUNJA URAFIKI WA WANAUME WENGI,
 
Nenda kamuuzie Ray Kigosi mkuu, ndio muvi zetu hizo wabongo... Daah, unajua kuandaa story mkuu, acha kabisa..
 
PIA BOMU LIKILIPUKA USISAHAU KULILETA HAPA TUKUPE NJIA ZA KUOMBA RADHI KWA MSELA AKO KAMA UTAONA BADO ANAMAANA KWAKO AU KAMA UNAONA PIA HANA MAANA KWAKO TUTAKUSHAURI PIA
 
Mla huliwa

Anyway mke wa jamaaa
Atakua mtam co kitoto
Kama unajiamin jikaze tu
Ukambanjue chali ang
 
asante sana mkuu kwa ushauri hichi kisa ni cha kweli sio cha kutunga
Nami nasisitiza, usiende tena kwa rafiki yako kama yeye hayupo.

Hata iweje, kama kutakua na ulazima sana wa kwenda kama yeye hayupo basi tafuta mtu mwingine uende nae...chukua hata bodaboda hata kama ni karibu akusubirie muda wote hadi unaondoka. Anaweza kuja kukusaidia mbeleni.

Mwisho huyo Mke wa jamaa usithubutu, na hao wadogo kama huna future nao achana nao utakuja shindwa pa kutokea siku ya siku na kama una mpango na yeye uishi nae mbeleni basi tafuta namna rafiki yako ajue mapema usimshtukize.
 
Back
Top Bottom