kyagata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 13,960 Reaction score 26,135 Oct 22, 2018 #21 Hivi Kuna watanzania mnalilia kabisa kuwa walimu ?
Jazajuan Senior Member Joined Dec 9, 2017 Posts 184 Reaction score 318 Oct 22, 2018 #22 Mbna koz za maana zipo nyingi kwani lazima uwe mwalimu?
wa stendi JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 26,494 Reaction score 29,282 Oct 22, 2018 #23 Huyu kwao mwanza hashindwi kulima Behaviourist said: Unajua kulima? Click to expand...
Just Distinctions JF-Expert Member Joined May 5, 2016 Posts 3,322 Reaction score 6,990 Oct 22, 2018 #24 sio lazima ualimu jaribu na kozi zingine. #DG
Agresive JF-Expert Member Joined Feb 18, 2018 Posts 891 Reaction score 1,237 Oct 22, 2018 #25 kyagata said: Hivi Kuna watanzania mnalilia kabisa kuwa walimu ? Click to expand... Kila mtu ana malengo na ndoto zake kama wewe hupendi siyo vyema kuwakatisha tamaa kuonekana wamepotea njia mkuu.
kyagata said: Hivi Kuna watanzania mnalilia kabisa kuwa walimu ? Click to expand... Kila mtu ana malengo na ndoto zake kama wewe hupendi siyo vyema kuwakatisha tamaa kuonekana wamepotea njia mkuu.