NGANYIKA
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 204
- 161
Mke wangu katoka kuniona hospitali nimelazwa. Nilimpa nauli ya daladala kwenda nyumbani ambapo angetumia saa moja tu. Angetembea kwa miguu angetumia saa mbili.
Lakini pamoja na kumpa nauli ametumia saa nne toka saanane na nusu hadi saa kumi na mbili na nusu. Nikimpigia simu kuuliza alikuwa wapi?Anakata simu.Nikipiga simu tena anabadili mazungumzo nakuegemea kwa watoto. Nikiuliza tu alikuwa wapi anakata simu.
Naomba ushauri wenu