Naombeni ushauri nifanye nini?

Naombeni ushauri nifanye nini?

lol, u think unaweza kumchunga mwanamke hahahha... angeweza kudinywa saa moja, kisha akapanda bodaboda, akafika ndani ya masaa mawili yako na kukwambia alitembea masaa mawili na wewe ukaridhika! wanaume bwana... hahahahaaa malizia dozi baba upone kisha anza matibabu ya wivu!
 
mlikutana wapi na mkeo...matatizo mengine si burwe...pole jamaa naona atakuwa anamhudumia mkeo..nakushauri tulia kwanza jiuguze
 
Back
Top Bottom