agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,412
aseee nazidi kuwaogopa wanaume
sawa mkuu ila kila nikimwangalia yule bint mwingne roho inashndwa kabisa kuwa mbali nae
Pole ndugu sasa hivi ni mrembo piga picha 20yrs to come atakuwaje? Atakuwa kazaa na hivi ni kilaza kazaa vilaza maisha ni magumu mzigo wote wa majukumu umeachiwa wewe i am sure utamkumbuka uliyemwacha.
aseee nazidi kuwaogopa wanaume
Agata, usituogope wanaume sbbu sio sote tupo kama huyu mleta mada, tupo tunaojitambua na wapo wanaojitambua, kwa hiyo huna sbbu ya kutuogopa wanaume.
hapana mkuu hata mie nna profesion yangu nzuri tu ila ndo ajira kitendawil ndo ninauza hii midosho
tunaruhusiwa kutukana katika hii nyuzi
eti founder????
Uzuri wa mwanamke ni tabia yake! Na hiyo baada ya miaka kadhaa unadhani nawewee utabaki na ujana ulio nao sasa!!! Mpende anayekupenda
Dah...nimependa ushauri wako!!!Mkuu Waballa, ni mara chache sana waliobahatika huweza KUMAIZI kuwa hii ni Bahati napaswa kuitumia. Mara nyingi bahati ukiipata huiona mtu alie kando, muhusika huwa mara nyingi hilo halijui.Lakini huja kujua inapokuwa imeondoka kwenye himaya yake. Huyu muungwana anaingia ktk kundi hili.Na nnachokiona mbele ya safari huyu mshikaji atarudi kwa huyu mwanamke ( kama itatokea atamuacha na kwenda kwa huyu aliyempenda) lkn itakuwa kachelewa. Maana wachache wanaojua maana ya bahati watakuwa washamchukua.Hili neno halianguki. "Ule msemo wa ukishikwa shikamana" muungwana umempitia mbali.NAKUBALI MISEMO YA WAHENGA,".... KWELI. KWENYE MITI HAKUNA WAJENZI.