Naombeni ushauri ndugu zangu

Naombeni ushauri ndugu zangu

Mleta uzi for once nimeona jinsi fikra za watu zilivyounganika hapa JF na kama unajitambua na ni mwanaume ulokamilika utasikiliza ushauri unaopewa....Usibabaike na muonekano wa nje hujafa hujaumbika mwanaadamu hajakamilika kesho huyo unaemuona dhahabu akibovuka utamuacha??....Chagua kuwa na mtu anayekuthamini,anayekupenda na anayekuhitaji....mtu anayekupenda anakuwa bega na bega na wewe kwenye misukosuko yote na ni huyo ulomimbisha...Wanaume wengine mnanishangaza mno na ww hata si wa kwanza......mpo wengi tu wa dizain yako lakini dah....
 
Namuonea huruma huyu Mwanamke anayekupenda kiasi hiki na pia Mungu kawajalia mtoto lakini bado una akili ya kushikiwa na kutaka kuhumahuma huku na kule. Tuliza akili fanya maamuzi ya busara na hekima na uanze kumthamini huyu mwanamke aliye Iringa na kumuonyesha mapenzi ya kweli. Ana tatizo lipi hadi humpendi kiasi cha kumfanya mkeo? Ulimtamani kutaka kutia dushelele lako tu sasa mwenzako amekupenda kwa mapenzi ya kweli hebu rudi utwambie tatizo ni nini hasa!? na kama hutaki kuwa naye basi na vijisenti vyake anavyokurushia kila mwezi achana navyo na huo mkopo mfahamishe mapema usije kumtia deni mwenzio ambalo hastahili kuwa nalo. SMDH!

Nimekuja kwenu wanajamvi kutaka ushauri kutoka kwa kila mmoja wenu.

Ni kwamba kuna demu nilikutana nae hapa town Dar es salaam mwaka juzi wakati yeye amemalza chuo UDSM.Sasa kiukweli nilimtamani tu sikumpenda toka moyoni nami kipindi hicho nilikuwa sina mtu sasa nikamtongoza akanikubalia na kiukwel alinipenda na ananipenda sana tena zaidi ya sana,akusita kunipa tunda la kati kati baada ya yeye kuajiliwa yeye alipata Iringa kazi so akaenda nami nikabaki DSM naendelewa na mishemishe zangu za kuuza nguo dukani kwangu.

Ikapita kama miezi miwili akaniambia ana mimba na akaniambia nisiwe na wasiwasi kama sina hela ya kumlea mtoto yey ingawa kwao mpaka saiz sijaenda kujitambulisha kwa kuwa ana ajira haita kuwa tatzo kabisa sababu anamshara mzuri so kwa kpnd ambacho tulikuwa mbali mbali nilikutana na mrembo ambae ndio nimempenda kwa dhat lakini yeye hana kazi cause alifeli huko O level.

Sasa niko njia panda naitaji mnisaidie kunionyesha direction wakuu cause yule demu wangu saizi anamtoto wangu ila ndo ananipenda sana ingawa mi sijapenda sana yani sio kwa dhat ingawa huwa akipata mshahara vi laki laki huwa ananirushia sana yani kiukweli ananipenda na saizi anasema anataka akope mkopo wa mili 7 anipe niongezee kwenye biashara yangu ili ikue zaidi ila naogopa kuchukua hizo hela.

Alafu badae nimwambie kuwa simuitaji na anaweza akazimia kwa jinsi anavyonipenda ila nngekuwa nae nahis tungepata mafanikio haraka sana ila ndo hiyvo sijampenda kutoka moyoni sio nimekuja kuomba ushauri kwenu wakuu kama niendelee nae au nimuache mapema kabla penzi letu alijaota mizizi na kunipa hyo miela then niwe na huyo mrembo mwngne ambae ndo nampenda kwa dhat ila hana mawazo makubwa kimaisha.

Natanguliza shukurani zangu za awali.

Mleta uzi for once nimeona jinsi fikra za watu zilivyounganika hapa JF na kama unajitambua na ni mwanaume ulokamilika utasikiliza ushauri unaopewa....Usibabaike na muonekano wa nje hujafa hujaumbika mwanaadamu hajakamilika kesho huyo unaemuona dhahabu akibovuka utamuacha??....Chagua kuwa na mtu anayekuthamini,anayekupenda na anayekuhitaji....mtu anayekupenda anakuwa bega na bega na wewe kwenye misukosuko yote na ni huyo ulomimbisha...Wanaume wengine mnanishangaza mno na ww hata si wa kwanza......mpo wengi tu wa dizain yako lakini dah....

jaman am sory nilikuwa bize kdogo this weekend coz biashara zangu mara nyngi weekend ndo znafanyka sana thus why mliona ckuwa na reply your comments,, back to the topic, on my side, mi nmewaelewa sana mkuu ila nilicho recognise ni kwamba ckuiz tofauti na zaman yan ckuiz kitu cha muhim ni maisha mazur then love follows so hakuna dhana ya mapenz ya dhat mbele ya ela lakn kumbukeni msemo wa hauwezi safir kutoka dar mpaka mwanza huku umejishikizia au umening'inia kwenye bomba au nguzo ya gar! ukitaka usafiri paref inabid ukae kwa comfortable! relation to this kuna miaka ming mbele yetu so kama hamjapenda kwa dhat mtachokana tu mapema sasa unaposema moja kwa moja niwe nae yule wa iringa napata kigugumiz au nasitasita coz life is not a rehaulse,it is a perfomance, and we only live once,, so napata shda kuidhulum nafsi mtu ninaye mpenda naomben mfikirie na hlo pia
 
Nilifikiri wanaume wana uwezo mkubwa wa kufikiri kuliko wanawake,kumbe sivyo na hapo ndipo tunapowashinda.

Mwanamke akijua tu una pesa au una uwezo wa kumlisha na baadae kuja kuhudumia watoto vizuri na ndugu zake basi hata kama ni kibogoyo atalazimisha upendo mpaka utakuja tu.Utapewa majina mengi saaana,mara honey,dear,my love sijui nini ilimradi tu mambo yaende na kweli baadae wanaishi hadi wanazeeka pamoja.

Sasa nyie mnabaki kuangalia sura, haya shauri yako

haha umenifurahisha sana mkuu...ila ulisemalo lipo sana
 
jaman am sory nilikuwa bize kdogo this weekend coz biashara zangu mara nyngi weekend ndo znafanyka sana thus why mliona ckuwa na reply your comments,, back to the topic, on my side, mi nmewaelewa sana mkuu ila nilicho recognise ni kwamba ckuiz tofauti na zaman yan ckuiz kitu cha muhim ni maisha mazur then love follows so hakuna dhana ya mapenz ya dhat mbele ya ela lakn kumbukeni msemo wa hauwezi safir kutoka dar mpaka mwanza huku umejishikizia au umening'inia kwenye bomba au nguzo ya gar! ukitaka usafiri paref inabid ukae kwa comfortable! relation to this kuna miaka ming mbele yetu so kama hamjapenda kwa dhat mtachokana tu mapema sasa unaposema moja kwa moja niwe nae yule wa iringa napata kigugumiz au nasitasita coz life is not a rehaulse,it is a perfomance, and we only live once,, so napata shda kuidhulum nafsi mtu ninaye mpenda naomben mfikirie na hlo pia

Labda uwe umeuacha moyo wa huyo unayempenda na ukathibitisha anakupenda kwa dhati.
Siku akipata buzi lenye hela zake akakutosa ndo utampenda kwa dhati yule wa Iringa.
 
Nimekuja kwenu wanajamvi kutaka ushauri kutoka kwa kila mmoja wenu.

Ni kwamba kuna demu nilikutana nae hapa town Dar es salaam mwaka juzi wakati yeye amemalza chuo UDSM.Sasa kiukweli nilimtamani tu sikumpenda toka moyoni nami kipindi hicho nilikuwa sina mtu sasa nikamtongoza akanikubalia na kiukwel alinipenda na ananipenda sana tena zaidi ya sana,akusita kunipa tunda la kati kati baada ya yeye kuajiliwa yeye alipata Iringa kazi so akaenda nami nikabaki DSM naendelewa na mishemishe zangu za kuuza nguo dukani kwangu.

Ikapita kama miezi miwili akaniambia ana mimba na akaniambia nisiwe na wasiwasi kama sina hela ya kumlea mtoto yey ingawa kwao mpaka saiz sijaenda kujitambulisha kwa kuwa ana ajira haita kuwa tatzo kabisa sababu anamshara mzuri so kwa kpnd ambacho tulikuwa mbali mbali nilikutana na mrembo ambae ndio nimempenda kwa dhat lakini yeye hana kazi cause alifeli huko O level.

Sasa niko njia panda naitaji mnisaidie kunionyesha direction wakuu cause yule demu wangu saizi anamtoto wangu ila ndo ananipenda sana ingawa mi sijapenda sana yani sio kwa dhat ingawa huwa akipata mshahara vi laki laki huwa ananirushia sana yani kiukweli ananipenda na saizi anasema anataka akope mkopo wa mili 7 anipe niongezee kwenye biashara yangu ili ikue zaidi ila naogopa kuchukua hizo hela.

Alafu badae nimwambie kuwa simuitaji na anaweza akazimia kwa jinsi anavyonipenda ila nngekuwa nae nahis tungepata mafanikio haraka sana ila ndo hiyvo sijampenda kutoka moyoni sio nimekuja kuomba ushauri kwenu wakuu kama niendelee nae au nimuache mapema kabla penzi letu alijaota mizizi na kunipa hyo miela then niwe na huyo mrembo mwngne ambae ndo nampenda kwa dhat ila hana mawazo makubwa kimaisha.

Natanguliza shukurani zangu za awali.

Wewe tatizo lako bado hujitambui na bado una akili za kivulana. Unaongea kwa majuvuno kabisa eti "huwa akipata mshahara vi laki laki huwa ananirushia sana". Kwa kifupi ipo siku utajutia coz wewe unaonekana ni mshenzi wa tabia, Umeshamzalisha mdada wa watu halafu sas hv unaanza kusema umempata wa moyoni na bado iko siku utasema umempata wa mapafu. Kwanza ushindwe na ulegee. Sijui wewe ni breed gani? Uwezo wako wa kufikiri tutaupima kama ifuatavyo:-
  1. Una umri wa miaka mingapi?
  2. Kiwango cha elimu? a)vidudu B)Darasa la saba................................
  3. Je wewe ni marioo? coz hivyo vilaki alivyokuwa anakutumia ndio ulienda kutafutia huyo unaemwita mrembo.
  4. Unaoa urembo au m2? na kama ni urembo utaula? na kama hali ya urembo ikibadilika utakubaliana nayo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom