Naombeni ushauri ndugu zangu

Kinachomsumbua huyu jamaa ni inferiority complex tu bhaaasi!!

Yawezekana yeye ni div 5 hivyo anajihisi mnyonge kuoa binti anaemzidi kidato hivyo sura ni kisingizio tu.

Yawezekana jamaa anahulka ya kunyanyasa mabinti sasa kakutana na anayejielewa na anapesa zake hayumbishi hivyo mchizi anaona atashindwa kufanya yake ndo maana amemkomalia huyo kilaza.

La sivyo we jamaa ni pimbi 1st class na utoto umekujaa (sorry)

Nikupe mfano.

Kuna rafiki yangu ameoa na anawatoto wawili lakini kila akimshauri mkewe wa ndoa wachukue mkopo(wanafanya kazi ofisi moja) waanzishe mradi wa familia anaulizwa,'JE TUKIACHANA ITAKUWAJE?'

Jamaa ameamua kumpiga chini rasmi before June this year huyo binti ni kisu balaa awali nilidhani utumbo wake huwa haupitishi mihogo.


Any ways, Kama unaona manyoya yenu hayafanani,usilazimishe kuruka naye.Opoa huyo kilaza lakini tegemea kuwa na watoto vilaza as well.
 

Inaonyesha hutaki utani aisee.
 

bila shaka utakua panya road ww..
 
Mke wa kuoa hatakiwi kuwa mzuli sana atakusumbu awe wa kawaida ,
Kupendwa ni bahati huyo anaye mpenda wewe inawezekana akawa hakupendi sikuyasiku ata kuacha atakwenda anako pendwa.
Silaha ni kupendwa ndiyo usalama wa ndoa siyo kupenda utajuta unayempenda naye anamtu mwingine anaye mpenda
 
Ukioa mwanamke anayekupenda utapatavraha sana kuliko unayempenda.hiyo ndoa haitakuwa nashida.hivi ukioa mwanamke unayempenda alafu akawa mzigo kwako maishani jiulize utapata faida gani? Mbona wao wakishagundua tuna fedha wanatupenda hata kama tuna kengeza?
 

sawa mkuu ila kila nikimwangalia yule bint mwingne roho inashndwa kabisa kuwa mbali nae
 

hapana mkuu hata mie nna profesion yangu nzuri tu ila ndo ajira kitendawil ndo ninauza hii midosho
 
Hili ni tatzo. Kaka uta fel. Kuwa makini maisha mafupi haya usiji complicate mambo ndugu yangu
 

Mkuu humu wewe ni matorokoko wa pili. Unaamua kupitia watoto wa watu bila hata kutumia ndomu? una mpango wa kupitia wangapi kwa style hiyo?
 
Mkuu jamiimemba hebu tupia picha za wote hapa tukushauri vizuri.
 
Last edited by a moderator:
Wavulana wengine tabu tupu. Kwanza wewe ni mchepukaji mzuri na pia bado hujajitambua. Huyo unayesema kaishia four utakuja kumwacha kama unavyotaka kumwacha huyo. Huyo unayesema ni mzuri vipi akiungua na maji utamsifia pia?
 
Hapo ndio unakosea,WIFE MATERIAL ni tabia,SURA hata VYANGUDOA wanazo!Acha perception za ujana,hiyo ni bahati usiichezee!

Mkuu Waballa, ni mara chache sana waliobahatika huweza KUMAIZI kuwa hii ni Bahati napaswa kuitumia. Mara nyingi bahati ukiipata huiona mtu alie kando, muhusika huwa mara nyingi hilo halijui.Lakini huja kujua inapokuwa imeondoka kwenye himaya yake. Huyu muungwana anaingia ktk kundi hili.Na nnachokiona mbele ya safari huyu mshikaji atarudi kwa huyu mwanamke ( kama itatokea atamuacha na kwenda kwa huyu aliyempenda) lkn itakuwa kachelewa. Maana wachache wanaojua maana ya bahati watakuwa washamchukua.Hili neno halianguki. "Ule msemo wa ukishikwa shikamana" muungwana umempitia mbali.NAKUBALI MISEMO YA WAHENGA,".... KWELI. KWENYE MITI HAKUNA WAJENZI.
 
Lazimimisha kumpenda huyo mwenye mshiko, kwanza tayari umezaa nae, pili hela ipo. Kwanza wewe ni kabila gani? Mbona unataka kupishana na hela?

Ajabu sana mkuu,..yaani anaziacha pesa anaenda mahali ambapo atapeleka pesa... Kama si kufilisiwa kabisa. Aisee!! Kweli kuishi kwingi kuona mengi.
 

Kalamzuvendi umetoa pointi nzuri,huyu mkuu akizembea hiyo nafasi hapati tena MKE MWEMA
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…