SawaWeka namba wajjinga wenzio wakuchangie
Kwa maana gani Mr Galileo_GauchoUmefel umemwaga mchele
[emoji1787][emoji1787]Mkuu ujasoma vizuri.Eti nikazama hadi kina kirefu alafu nikatoka nikamwambia nahodha.
Kwa hiyo braza ulipozama huyo nahodha wako alizima mtumbwi akakusubiri pale juu hadi uibuke tena.
Daa... ngoja nijiandae nina safari ya site leo.
Ahaa hapo nimeona.[emoji1787][emoji1787]Mkuu ujasoma vizuri.
Moja, mtumbwi ulikuwa bado hujatoka, Mimi ndio nilikuwa mtu wa kwanza kupeleka dumu la mafuta kwenye Boat
Mbili, Mimi sikuzama ila kile kiumbe ndio kilizama kuelekea kwenye kina kirefu.
Tatu, Nahodha alikuwa nje, nilimfuate kule nchi kavu kumuambia.
Sio Taa.Ahaa hapo nimeona.
Kwa hiyo hizo taa ni wewe peke ako uliona dereva yeye huo mwanga hakuona na yeye?na ulijuaje lilizama hadi kina kirefu
Kutaja waz code szo mfano chuo, program na mwaka no goodKwa maana gani Mr Galileo_Gaucho
Sawa mkuu poleSio Taa.
Niliona mtu kabisa kwenye maji.
Macho yake Ni makali Sana Kama Taa, Yani nikahisi Ni zile taaa za kilamanjaro hotel ndio zimepiga kwenye maji na kutoa miale.
Baada ya kubaini Ni mtu Tena akageuka nyuma na kuzama pale ukanda wa Baharini na kuelekea kwenye kina kilefu.
Nikaondoka mbio kwa kutahamaki, nikamwambia Nahodha ndio akasema Nisiende. Ila alionesha kujua kitu..
Umenielwa Kaka? Sema Wai kwaza site Jioni ntakuelekeza vzuri
Sawa [emoji1787][emoji1787]Sawa mkuu pole
Nitakuletea maembe ule upunguze wenge[emoji28]
Sawa mkuu.Kutaja waz code szo mfano chuo, program na mwaka no good
Au stress za maisha kuna muda fikra zinadanganya, all kwa all sir God akublees kwenye hatua zakoSio Taa.
Niliona mtu kabisa kwenye maji.
Macho yake Ni makali Sana Kama Taa, Yani nikahisi Ni zile taaa za kilamanjaro hotel ndio zimepiga kwenye maji na kutoa miale.
Baada ya kubaini Ni mtu Tena akageuka nyuma na kuzama pale ukanda wa Baharini na kuelekea kwenye kina kilefu.
Nikaondoka mbio kwa kutahamaki, nikamwambia Nahodha ndio akasema Nisiende. Ila alionesha kujua kitu..
Umenielwa Kaka? Sema Wai kwaza site Jioni ntakuelekeza vzuri
Amina[emoji120]Au stress za maisha kuna muda fikra zinadanganya, all kwa all sir God akublees kwenye hatua zako
Sent using Jamii Forums mobile app
Maweeee!! amwambie????? ndo atakuwa amejiroga kabisaaa!! hivi unadhani kila mtu anataka yeye huyo kijana upate hela ambazo yeye hana??? narudia tena hela??? hilo la kusema kwenu ni masikini kamwe halita muingia akilini!!Ndugu yangu ni rahisi kidogo haya uliyotueleza hapa kamueleze yote bila kuacha kipengele hata kimoja naamini atakuelewa
huyo cr jukumu lake sio kumfukuzisha mtu shule yeye ni kama kiongozi wa darasa sasa inatakiwa atumie busara kidogo anapokuwa anaongea na wanafunzi wenzakeKwa hiyo kwa mawazo yako ya haraka haraka unadhani CR anafatilia maisha yako au siyo??,Huyo ni kiongozi wako anakutakia mema ndio maana amekuuliza ni vyema umueleze.