Nguli bana......kwa nini ujiua kwa kitanzi chako mwenyewe? We unaijua fika kuwa ni dhambi do you need to jot it dowan? Au ulikuwa unamtafutia mtu ushahidi?? Mwulize wife kama ameiokota!!

Halafu inaonekana wewe unatenda dhambi kimakusudi, mpaka unaziwekea dayari yake kabisa?!

Naishi na familia yangu. My wife wangu na mtoto na dada wa hm.
Nimejikuta nacheka bila kupenda! Mwulize tu wife kama kaiokota akurudishie!..lolNdg wana JF
Najua wengi mna hasira kali na mgomo wa wakubwa wa mafuta.
Lakini naomba mchukue dakika zenu chache mnishauri.
Kwa kawaida nikitenda dhambi huwa naandikaga mahala ili kuepusha adha ya kusahau ili mwisho wa mwezi nikaungame kwa padre. Sasa ile karatasi ya mwezi uliopita imepotea nimetafuta hadi nimechoka. Sasa wasi wasi wangu ni je kaikota nani? Na najua mazingira ya upotevu ni ya nyumbani kwangu, siitokagi na hio dossier ya dhambi nje ya nyumba yangu labda siku naenda kuungama.
Mazingira kama haya mtu unafanyaje?

Nimejikuta nacheka bila kupenda! Mwulize tu wife kama kaiokota akurudishie!..lol

Hahahahahahaha lohhhh

Samahani sana Nguli sijui

Kwa nini kicheko kimenijia

Anyway ..

Pole kwa kupoteza karatasi..

Lakini ukienda kuungama pale

Mwisho wa ile sala huwa tunasema

Nisamehe na nilizo sahau.. tubu

Kwa imani na utasamehewa...

Baadaye lolz.