mwenye shamba
JF-Expert Member
- May 31, 2015
- 978
- 1,766
Habari wadau,
Poleni na majukumu ya siku.
Kama tunavyojua matokeo ya kidato cha nne yapo hewani tayari nina mdogo wangu wa kike amepata matokeo mabaya, yaani div iv ya 32.
Sasa kama kuna mdau anajua naomba anijuze wapi nitapata fomu za veta, kozi zitolewazo na gharama pia ningependelea maelezo yajikite katika vyuo vinavyomilikiwa na serikali.
Asanteni