Ee mkuu nataka nihamie kwangu buana [emoji2][emoji2] town kumenichosha kodi kila mwezi wakati nina kwangu !!?Kama unataka umeme wa uhakika chukua 80watt betri N70 ile ya unga. Inveter 150watt, chaja control 10A au 20A.
Tafuta Fundi mzuri afanye WIRING a covert Dc to AC ili uweze kutumia soketi switch za ukutani. Pia atagawa njia za taa ndo zitumie umeme wa Dc direct.
Hapo utawasha Taa, utakula mziki na utacheki Tv.
Unatak kuhamia kwenye kijumba chako.
Mkuu Solar ya Watt80 na Betri N70 ya Unga na Inveter inaweza chukua kiasi gani cha pesa ..Kama unataka umeme wa uhakika chukua 80watt betri N70 ile ya unga. Inveter 150watt, chaja control 10A au 20A.
Tafuta Fundi mzuri afanye WIRING a covert Dc to AC ili uweze kutumia soketi switch za ukutani. Pia atagawa njia za taa ndo zitumie umeme wa Dc direct.
Hapo utawasha Taa, utakula mziki na utacheki Tv.
Unatak kuhamia kwenye kijumba chako.
Mkuu Solar ya Watt80 na Betri N70 ya Unga na Inveter inaweza chukua kiasi gani cha pesa ..
Nami nataka umeme uwe wa kuconvert itapendeza zaidi..
Naomba unijuze bei mkuu wangu
Asante sana kwa mwanza ntapata wapi solar bora na nzuri , pia hizo betri za unga ninunue za aina gani ?Solar
Betri
Inveter
Charge control
Andaa kama 450k kama utahitaji solar watt tofauti na hiyo basi bei itapungua kutokana na betri.
Kwahiyo kuna vifaa vinavyosuport ya dc na ac ?nashauri ukwepe Inverter, then ununue vifaa zenye support ya DC (kwa solar) na AC ( kwa umeme wa tanesco in case ukijaunga wiring)
power nyingi inapotelea kwenye Inverter ( Inverter nyingi ufanisi ni chini ya 60% )
nashauri ukwepe Inverter, then ununue vifaa zenye support ya DC (kwa solar) na AC ( kwa umeme wa tanseco in case ukijaunga wiring)
power nyingi inapotelea kwenye Inverter ( Inverter nyingi ufanisi ni chini ya 60% )
Asante sana kwa mwanza ntapata wapi solar bora na nzuri , pia hizo betri za unga ninunue za aina gani ?
Mkuu naomba niulize swali nikifunga umeme wa solar ambao haupitii kwenye inveter hivi nikiwa nachaji simu si shida kuijaza ?Kama ni hivyo itabidi afanya wiring mbili ambazo ni Dc na Ac. Na inaweza ikampa gharama kubwa. Bora akafanya wiring moja tu ambayo inajumuisha na Ac ili hata huko mbele akipata umeme iwe rahisi kwake.
Mkuu naomba niulize swali nikifungavumeme wa solar ambao haupitii kwenye inveter hivi nikiwa nachaji simu si shida kuijaza ?
Ndo umeme ambao nautaka maana mimi umeme wakujibembeleza siuwezi , bora nitumie inveter sasa [emoji2][emoji2]Ndio kujaza inakuwa slow sana, maana utatumia tuchaja vya solar 7 in one[emoji38] but ukitumia inveter unapata umeme wenyewe kabsa ambao utaweza kuweka chaja yako kwenye switch soketi.
Sikufahamu ndugu [emoji16][emoji16][emoji16] niko mwanza hapa malimbe nasikilia mambo fulani
Kama ni hivyo itabidi afanya wiring mbili ambazo ni Dc na Ac. Na inaweza ikampa gharama kubwa. Bora akafanya wiring moja tu ambayo inajumuisha na Ac ili hata huko mbele akipata umeme iwe rahisi kwake.
Ndo umeme ambao nautaka maana mimi umeme wakujibembeleza siuwezi , bora nitumie inveter sasa [emoji2][emoji2]
wiring moja tu, analaza waya wa 2.5 mm2 kwa lights na power circuits
kwenye DB anaweka Change-Over Switch mchezo umeisha, izo zote ni gharama za mara moja
kuliko kutumia Inverter za efficiency za ovyo milele, na hutapata ile 'Pure Sine Wave'
naona uko kibiashara zaidi na sitaki nikuharibie mkuu,Kwenye kuchaji simu ndo atapata mtihani, maana smartphone zetu hizi zinataka power kubwa sana.
naona uko kibiashara zaidi na sitaki nikuharibie mkuu,