Naombeni ushauri/mke wangu "ana sauti" kwangu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naombeni ushauri/mke wangu "ana sauti" kwangu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by masige, Sep 16, 2011.

 1. m

  masige New Member

  #1
  Sep 16, 2011
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nduguzanguni mficha uchi hazii au mficha maradhi kifo humuumbua. mimi ni mwanaume niliyeoa miaka 3 iliyopita, tumebahatika kupata mtoto 1 wa kiume umri 2yrs. Huyu mke wangu anasauti kuliko mimi , waswahili wanasema, yuko juu yangu. Ananiheshimu sana nami namuheshimu.

  Tatizo ni kuwa kwa kuwa anasauti basi hata mambo ya ndoa/unyumba anaamua yeye lini na saa nagapi, hili limenifanya ni kose raha ya ndoa kwa sababu mimi kwa kweli nahitaji mapenzi at leat 3 times per week, yeye akiamua at least once per three weeks, unaweza kuona changamoto ninayo pitia. last two months, nilivunja ukimya- matokeo nikajaza watu, nilicho fanya- nilirarua pedo yake ya jeans aliyo lala nayo. alipiga mayowe sana, infact watu walijaa nje. nikamzuia asitoke kwenda kwao bse alitaka kuondoka usiku huo huo. jamaani ni serius case . please tusaidiane cha kufanya.!!
   
 2. Digna37

  Digna37 JF-Expert Member

  #2
  Sep 16, 2011
  Joined: May 17, 2010
  Messages: 835
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 60
  Kama uliruhusu hayo miaka 3 iliyopita leo unageuka vipi kudai haki yako? Shuntama.
   
 3. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #3
  Sep 16, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  aiseeee!,..mnaheshimiana sana na huku mnafanyiana hayo(labda ndio heshima ya ndoa bana),....nachohisi hapa huyu shemeji yetu either sio mwaminifu kwenye ndoa yenu au ni mbabe na wewe ni ndio mama,.....anyway pole sana mkuu na endelea kupambana
   
 4. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #4
  Sep 16, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  hapo sasa 3yrs unafanyiwa kitu usichokipenda halafu bado unajikausha,.....mimi hizi ndoa bana zinaniacha hoi bin taaban,...sijui!
   
 5. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #5
  Sep 16, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kila mtu ndoa yake ina matatizo.
  Huyu mkewe mbea,mkorofi,mchafu,kicheche,mtawala nk
  Mara mume wangu mlevi,mbabe,hawezi kazi nk.
  Ni nani alie na furaha kwenye ndoa yake? mikono juu tafadhali.
   
 6. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #6
  Sep 16, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  hapa ndipo namkumbuka Martin Lawrence ktk Badboys 1 movie,..."that is marriage, you sleep with a woman but you don't get" I know one fella had the same issue na mkewe, alitoka nje na akahakikikisha mkewe kajua, na mkewe alivyo mjinga aliitisha kikao cha wazazi eti kumshtaki mume, on a meeting mke alibwabwaja muda mrefu sana akijua anammaliza mumewe kwa sababu waliokuwepo na wazazi wa wake tu na matron na mumewe, jamaa spoke only two line, na kibao kikamgeukia mwanamke. since then mwanamke alishika adabu yake.
   
 7. BlackBerry

  BlackBerry JF-Expert Member

  #7
  Sep 16, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 1,844
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hiyo ndoa au balaa, wanawake wengine wanawafukuza waume zao wenyewe. mpeleke kwa wazazi anakukosesha starehe huyo dada
   
 8. kinyoba

  kinyoba JF-Expert Member

  #8
  Sep 16, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 1,238
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Tatizo naliona unalo mwenyewe coz unakubali kusema mkeo ana sauti zaidi yako. Sasa sijui ndo ana kipato zaidi au anaongea kwa nguvu sana. Kama umekubali endelea na maisha yako ya kukaliwa kama usingekubali wala usingekuja kuomba ushauri hapa coz ungeshajua la kufanya. Mwanamke yoyote ukimpa nafasi lazima akuchezee! We sema tu kama na nguo unamfulia!
   
 9. BlackBerry

  BlackBerry JF-Expert Member

  #9
  Sep 16, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 1,844
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hata mie namsapoti kabisa
   
 10. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #10
  Sep 16, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  Some people have to learn it the hard way...
   
 11. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #11
  Sep 16, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,459
  Likes Received: 3,713
  Trophy Points: 280
  mnaheshimiana au unamheshimu?..........
   
 12. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #12
  Sep 16, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Sijui lakini ninahisi mmoja wenu atakuwa sio mwaminifu, maana haiwezekani yaani hadi kwenye tendo la ndoa mnapurukushana namna hiyo achilia mbali hayo mambo mengine.
   
 13. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #13
  Sep 16, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kwa staili hii hapo wala hamuheshimiani wala hakuna hata chembe ya heshima
   
 14. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #14
  Sep 16, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Huna mke ww ! tafuta mke uoe
   
 15. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #15
  Sep 16, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Inabidi "Kumulika Mwizi" mapema kabisa
   
 16. T

  Tata JF-Expert Member

  #16
  Sep 16, 2011
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,730
  Likes Received: 646
  Trophy Points: 280
  Hii taarifa ni fupi mno haitupi taarifa za kutosha kusema chochote. Ila hii ya mke wako kulala na jeans kali! Ila angalia hawachelewi kudai umewabaka hawa hasa ukizingatia kuwa umemchania jeans ikimaanisha kuwa hakuwa tayari kufanywa.
   
 17. lolyz

  lolyz JF-Expert Member

  #17
  Sep 16, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 334
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  1 Corinthians 4-5
  Mke hana mamlaka juu ya mwili wake, bali mumewe anayo; hali kadhalika naye mume, hana mamlaka juu ya mwili wake, bali mkewe anayo. Msinyimane haki zenu, isipokuwa kama mnaafikiana kufanya hivyo kwa kitambo tu, ili mpate nafasi nzuri ya kusali. Kisha rudianeni tena mara, ili Shetani asije akawajaribu kwa sababu ya udhaifu wenu.
   
 18. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #18
  Sep 16, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,640
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160

  Mtafutie msaidizi
   
 19. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #19
  Sep 16, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,640
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Quote nzuri, lakini, wanamtukuza Mungu?
   
 20. Ennie

  Ennie JF-Expert Member

  #20
  Sep 16, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 7,145
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  <br />
  <br /
  Sasa hapo mwizi nani? Aliyelala na jeans au aliyechana jeans ya mwenzie?
   
Loading...