Naombeni ushauri mji wa mwanza

We dada mbona unatukana sana, tuliza akili haya ni mapito tu utazoea, ni hali ya kawaida, ina maana makonda kuwapiga pini unataka kukimbilia mwaza???????????, huku tunahonga buku utaweza kweli!
 
Mwanza kuzuri sana kuanzia hali ya hewa mpaka vyakula ni cheap.Na ni mji wenye discipline ya hali ya juu sana especially kwenye kukuza watoto.Maji unakunywa ya bombani tuu,Hakuna haja ya kununua.
Ukiweza kuchukua nguo za wa dada kariakoo ukazileta hautakufa njaa. .
Mitaa mizuri ya kukaa ni kapripoint though ni expensive kidogo, mitaa ambayo ni ya midle class ni kuanzia nera, kona ya bwiru,mpaka airport.
Ila kila mahali ni pazuri,ni wewe tuu kujipanga
 
Pia inategemea wewe unataka kuja Mwanza ukiwa umejiandaa kufanya shughuli gani, lakini usiseme kwamba ndo unakuja kutafuta bado nayo utaiona Mwanza ni ngumu tu.......karibu sana rock city
 
Upo too general, ingekua vema ukawa specific kuhusu ushauri unaotaka.
Kuhusu nyumba ipo 800k/year maeneo ya nyegezi
 
Ukiwa tayari kuna chumba self 35 na 30 kwa chumba kisicho self Mwenzi

Maeneo ni Mahina/Kanyerere

Nyumba iko karibu na barabara kwa maana dala dala zinapita mbele ya nyumba

Nyumba ina maji na umeme
Tiles na Gypsam
Kuna ukuta (fensi)

Ni nzuri kwa wale wanaotaka kupanga chumba kimoja kimoja

Karibu
Ni inbox kwa maelezo zaidi
 


Mtafute naibu waziri wa nyumba na maendeleo Mh. Angelina Mabula, atakuambia yote kuhusu Zoo na pia wapi utapata machangu wa bei ya chee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…