katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,762
Ukifika mwanza cha kwanza unatakiwa kupiga picha ukiwa pale daraja la magufuli then mengine utayajua hapoHamjambo wanajf wote .
Naombeni ushauri kuhusu mwanza.
Nimji mzuri kwamba utaendelea kiuchumi au nitakuja poteza ramani tu .
Naomba ushauri nipo serious nataka niujue kiundani.
Wanaouelewa naombeni majibu mazuri
Napia nyumba zakupanga self inaanza how much .
Ile single self chumba na choo.
Mambo kama hayo.
Nasubiri majibu mazuri kutoka kwenu nakaribu kwakuchangia
Haya bhanaUkifika mwanza cha kwanza unatakiwa kupiga picha ukiwa pale daraja la magufuli then mengine utayajua hapo
ila mwanza kuzuri mkuu yale mawe mawe na fursa zipo za kutosha ni wewe tu na uchakalikaji wakoHaya bhana
Unamjua mtu aliyeko mwanza ni muulizeila mwanza kuzuri mkuu yale mawe mawe na fursa zipo za kutosha ni wewe tu na uchakalikaji wako
Nawajua na ata shemu wangu ni mtu wa hukoUnamjua mtu aliyeko mwanza ni muulize
hahha kaka hivyo vumbaa unasemea igoma.....kisesa au mabatini.Karibu mkuu,kifupi ni mji ambao maisha hayapo juu wala chini,vyumba self vinaanzia tsh50 mpk tsh80 inategemea na maeneo
Beeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Dogo anaomba kusaidiwa kuujua mji wa mwanzaBeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Aje tu. akiwa serious kuna nyumba iko kata ya Kitangiri, Tshs.200,000/=
Dogo karibu mwanza, life ya mwanza ni rahisi sana kuliko miji yote nilio wai kukaa[imagine mwanza bado kuna chakula cha buku na kina mboga tatu], KWENYE swala la chakula i mean.then kwenye nyumba kidogo ni ghali sio sana, self single, kuazia 70---hadi 100,nzuri, double self kuazia 100-150. ni mji unao kuwa kwa kasi....Hamjambo wanajf wote .
Naombeni ushauri kuhusu mwanza.
Nimji mzuri kwamba utaendelea kiuchumi au nitakuja poteza ramani tu .
Naomba ushauri nipo serious nataka niujue kiundani.
Wanaouelewa naombeni majibu mazuri
Napia nyumba zakupanga self inaanza how much .
Ile single self chumba na choo.
Mambo kama hayo.
Nasubiri majibu mazuri kutoka kwenu nakaribu kwakuchangia
Natafuta kazi huko mwanza ambayo nitaweza kulipa kodi kudanga nope sitaki labda atokee mwanaume wa kudumu naye kimahusiano mmoja tu.Mkuu mbona uko too general??
Unataka kwenda mwanza kufanya shughuli gani ili kusudi wenyeji wakujibu ipasavyo kulingana na matarajio yako.
Je unataka kwenda kulima pamba?
Je unataka kwenda kudeal na dagaa?
Je unahitaji kwenda kufungua babershop?
Je unahitaji kwenda kufungua duka la vipodozi??
Nk nk.
Nice sana je kazi huko zinapatikana kirahisi?Dogo karibu mwanza, life ya mwanza ni rahisi sana kuliko miji yote nilio wai kukaa[imagine mwanza bado kuna chakula cha buku na kina mboga tatu], KWENYE swala la chakula i mean.then kwenye nyumba kidogo ni ghali sio sana, self single, kuazia 70---hadi 100,nzuri, double self kuazia 100-150. ni mji unao kuwa kwa kasi....
Asante kwa msaada
Kwa zama hizi za jiwe kupata kazi ni changamoto ujue..!Natafuta kazi huko mwanza ambayo nitaweza kulipa kodi kudanga nope sitaki labda atokee mwanaume wa kudumu naye kimahusiano mmoja tu.
Unajua kupigana kwa sasa sina hiyo nguvu waza unavyotaka majitu ya humu yamekaa yanastress tena yanataka kunyanyasa wenzao unazani tumezaliwa kudanga watu wengine hawajui nini wanachojua nikutafuta kwa jasho zao acha unafiki uende mbinguni unaona humu nisehemu ya kujiuzia sasa kwa nani nakingine ujiuze kwa lipi? mimi naraha zangu nikome wewe kama umezoea kulala na malaya sio mimi mwehu wewe sura mbaya kama hutaki kufa chakubimbi wewe .Kwa zama hizi za jiwe kupata kazi ni changamoto ujue..!
Unavyosema kudanga nope unamaanisha ulikuwa unadanga sasa umechoka ndio maana unatafuta kazi au mimi sijakuelewa vizuri??