Naombeni ushauri marafiki zangu

Naombeni ushauri marafiki zangu

Kijana huwezi kupata ushauri kirahisi kwa kuwa unapindisha pindisha maneno yako...

Hadi sasa sidhani kama kuna mtu aliyeelewa haswa ni nini unataka kwa kuwa haujaonesha kiini cha kwa nini wataka ushauri?

Mara utaje mama, mara simu???!!!!

ipo he Nauru yangu

nipo kwa mahusiano na bint mmoja yapata miaka 3

mnamo miez michache ilo pita kulitokea na utata ulio sababisha wazaz kuchukia mahusiano yetu, ila wenyewe tuli sameheana na kuwa pamoja, tatizo lilikuja pale mzaz wake alipo chukua cm ya binti yake kinguvu, pia na akampa vitisho vikali

kiukweli bado ananipenda ila naimbeni ushauri maana hata mazingira yake ni ya wasi wasi, natamani kumtafuta ila cm yangu imefungiwa kk nifanye vp ili furaha irejee km awali
 
mhhh yan sijaelewa ata unamaanisha nini mkuu au wamekupostia??
 
ipo he Nauru yangu

nipo kwa mahusiano na bint mmoja yapata miaka 3

mnamo miez michache ilo pita kulitokea na utata ulio sababisha wazaz kuchukia mahusiano yetu, ila wenyewe tuli sameheana na kuwa pamoja, tatizo lilikuja pale mzaz wake alipo chukua cm ya binti yake kinguvu, pia na akampa vitisho vikali

kiukweli bado ananipenda ila naimbeni ushauri maana hata mazingira yake ni ya wasi wasi, natamani kumtafuta ila cm yangu imefungiwa kk nifanye vp ili furaha irejee km awali

Jina lako tu linaelezea mengi...anyway...ushauriwangu ni acha kula wida!
 
Hata hvyo wazazi hawawezi kuwapa go aheard sababu bado ni watoto nyie....
 
Nipo kimahusiano na binti mmoja mwaka wa3 sasa, kiukweli tunapendana bila matatizo,Tatizo nikwamba kuliwah tokea utata flani hali ilo pelekea wazazi kuchukizwa na sikuwa pamoja.

Mwezi ulikatika kama unavyo jua mapenzi kama mnapenda tukajikuta tumesamehe yana tukawa kitu kimoja nilimtengenezea njia hadi kuja kwa mama mzazi kumuomba radhi.

Mama yangu hakuwa na hiyana, ishu ni kwamba mama yake karudi toka mkoa na kuihitaj simu ya mwanawe hapo ndipo utata ulipo anza baada ya mama yake kumaind na kutoa maneno flani sio mazuri.

Naombeni ushauri nifanye nini ili kutatua tatizo
Hili jina Wida ambalo lina maana ya mwanamke linaaksi ulivyo. Et wida@majuto. utajuta sana mwaka huu
 
Hujajieleza ukaeleweka. Usitegemee ukapata ushauri uliokamilika.
 
Back
Top Bottom