Naombeni ushauri kwenye mahusiano yangu

Naombeni ushauri kwenye mahusiano yangu

Habari za muda huu GUYS...
Niende moja kwa moja kwenye mada,nipo kwenye uhusiano miaka minne sasa...Nina miaka 23 na mtu wangu ana miaka 20..nampenda &ananipenda sana(tunapendana).
Kwa mara ya kwanza nlikutana nae kimwili mwaka 2018 akiwa bdo virgin kipindi hivyo nasoma advance mkoa flani,alipomaliza 4m alienda dar kwa masomo chuo cha kati ualimu certificate ...kabla hajAmaliza masomo tulikua tunakutana mara 1 1...alipomaliza mwaka huu nkaona isiwe tabu aje tutulie magheton kwangu huku chuoni nikiwa na attention kuwa boom nalopata tuweze kujibana afanye chochote kitu akiwa anafukuzia michongo ya kutafta shule ya kufundisha akikosa basi akomae na biashara..biashara ikiwa nzuri basi nani ntakuja ntumie ka mtaji kupambana mtaani nkiwa natafuta ajira...worse situation imekuja pale nlipowashrkisha wazazi kuhusu situation nlonayo walnipinga sana japo awawezi inglia sana maamuzi yangu, zaid walinionya na kunisihi niachane na huyu binti ...skua na 7bu ya binti kumuacha kizembe ikiwa alkua ananiheshimu na ananijali sana kiukweli nlichoamua mm nkutafta ugomvi ili aondk ilfkia stage nlimpiga na ugomvi usoisha nia yangu aondke ....ilfkia stage akakubali kuondk ...(ikumbukwe tunapendana)kwao ni kujijn maish magumu namimi ndo kidg Nina nafasi ya kumsaidia ijapokuwa ata kwetu hatuko vizuri....bahati nzuri yeye si mtu wa kukaaa ndani tu ni msusi(saloon za wanawake)ko daily lazma aje na kitu kinachotusaidia ...amekaaa wiki ka3 kwao akaniomba tena aje gheto kwangu mkoani ili aweze kufatlia kadi ya nida akiwa kwao ni mbali then akshapata aende dar ambako amepata kazi ila wanahitaji nida datz y anafukuzia kadi ya nida..ameweza kdangnya kwao na amerd tn kwangu nami nmekubal coz nampenda ila changamoto ni masomo ila pia anatk tupambane na maish pamoja nami
Sa najikuta niko dillema
Kwa niaminie tuanze maisha au nmpotzee nisome kwanza...asanteni
I suppose wewe ni msomi japo hata kidogo, yaani ndiyo unaomba ushauri wa kipumbavu namna hii? Unaishi wapi, haki ya nani nakuja kukukamata nikupige viboko takatifu, unatuabisha sana dogo.
 
Sawa but mapenzi nayo yananafasi yake hasa kukiwa na hisia za kweli juu ya mtu flani
 
Kuomba ushauri means ii mambo inanichanganya coz both side kuna impact sawa
I suppose wewe ni msomi japo hata kidogo, yaani ndiyo unaomba ushauri wa kipumbavu namna hii? Unaishi wapi, haki ya nani nakuja kukukamata nikupige viboko takatifu, unatuabisha sana dogo.
I
 
Basi ngoja nikuvumilie kwa sasa
No nichane tu bingwaa
 
Habari za muda huu GUYS...
Niende moja kwa moja kwenye mada,nipo kwenye uhusiano miaka minne sasa...Nina miaka 23 na mtu wangu ana miaka 20..nampenda &ananipenda sana(tunapendana).
Kwa mara ya kwanza nlikutana nae kimwili mwaka 2018 akiwa bdo virgin kipindi hivyo nasoma advance mkoa flani,alipomaliza 4m alienda dar kwa masomo chuo cha kati ualimu wa shule za msingi level ya certificate ...kabla hajAmaliza masomo tulikua tunakutana mara 1 1...alipomaliza mwaka huu nkaona isiwe tabu aje tutulie magheton kwangu huku chuoni nikiwa na attention kuwa boom nalopata tuweze kujibana afanye chochote kitu akiwa anafukuzia michongo ya kutafta shule ya kufundisha akikosa basi akomae na biashara..biashara ikiwa nzuri basi nani ntakuja ntumie ka mtaji kupambana mtaani nkiwa natafuta ajira...worse situation imekuja pale nlipowashrkisha wazazi kuhusu situation nlonayo walnipinga sana japo awawezi inglia sana maamuzi yangu, zaid walinionya na kunisihi niachane na huyu binti ...skua na 7bu ya binti kumuacha kizembe ikiwa alkua ananiheshimu na ananijali sana nlichoamua mm nkutafta ugomvi ili aondk ilfkia stage nlimpiga na ugomvi usoisha nia yangu aondke ....ilfkia stage akakubali kuondk ...(ikumbukwe tunapendana)kwao ni kujijn maish magumu namimi ndo kidg Nina nafasi ya kumsaidia ijapokuwa ata kwetu hatuko vizuri....bahati nzuri yeye si mtu wa kukaaa ndani tu ni msusi(saloon za wanawake)ko daily lazma aje na kitu kinachotusaidia ...amekaaa wiki ka3 kwao akaniomba tena aje gheto kwangu mkoani ili aweze kufatlia kadi ya nida kwao ofisi za nida zpo mbali, then akshapata aende dar ambako amepata kazi ila wanahitaji nida datz y anafukuzia kadi ya nida..ameweza kdangnya kwao na amerd tn kwangu nami nmekubal coz nampenda ila changamoto ni masomo ila pia anatk tupambane na maish pamoja nami
Sa najikuta niko dillema
Kwa niaminie tuanze maisha au nmpotzee nisome kwanza...asanteni
Natumaini mlishabwagana tayari [emoji28][emoji28][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa
 
icho kiburi cha kutumia picha za quotes angal mwenzio anatype n utoto unakusumbua

" mwanaume msimamo"[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom