Naombeni ushauri kwenye mahusiano yangu

Naombeni ushauri kwenye mahusiano yangu

Mnaacha wanawake wa maana mnakuja kutafutiwa wenda wazimu na wazazi wenu.

Unachopanda ndicho utakachovuna.

Kesho mnawaita singo maza, you're crazy.
šŸ˜€šŸ˜€ Usitufokee (kidding)

Ulichosema madame Ni kweli kabisa
Wazazi wengi wa Africa wanahii kasumba ..je hali ikoje kwa upande wako !?
 
Oa huyo mkuu, usiyumbe, utakuja kunishukuru.
 
Kumpiga ili aondoke ndipo umekosea sana. Inaonekana huyo binti anajielewa sana.

Ushauri wangu, achana naye ili baadaye ukutane na nyonya damu.
 
Kumpiga ili aondoke ndipo umekosea sana. Inaonekana huyo binti anajielewa sana.

Ushauri wangu, achana naye ili baadaye ukutane na nyonya damu.
Dah😣😣
kama huna nia na binti wa watu hebu mweke wazi alie kabisa kisha aendelee na maisha yake, usimpotezee muda kama huna malengo naye

ni heri mwanaume ukose pesa kuliko kukosa msimamo.
Namhitaj ila changamoto masomo ndo kwanza naingia mwaka wa pili
 
Shukrani mkuu imenipa nguvu
Kuna ndugu yangu mmoja kwa sasa ni mtu mzima siyo kijana alipitia njia kama hiyo hiyo unayotuelezea hapa. Aliamua kukomaa kivyake vyake akaachana na mashauri ya wazazi wake, alikuja kumuoa aliyekuwa mchumba wake wamepata watoto wanne na huwezi amini yeye na mkewe ndiyo wamekuwa msaada sana kwa wazazi wao kiuchumi hadi hivi sasa. Mkewe ni mwalimu na mwanaume anasimamia biashara zao za maduka
 
"Kazana na shule,mapenz achia wenye uwezo nayo".Fuata huu ushauri,utanishukuru baadaye!!
 
Habari za muda huu GUYS...
Niende moja kwa moja kwenye mada,nipo kwenye uhusiano miaka minne sasa...Nina miaka 23 na mtu wangu ana miaka 20..nampenda &nakupenda sana(tunapendana).
Kwa mara ya kwanza nlikutana nae kimwili mwaka 2018 akiwa bdo virgin kipindi hivyo nasoma advance mkoa flani,alipomaliza 4m alienda dar kwa masomo chuo cha kati ualimu certificate ...kabla hajAmaliza masomo tulikua tunakutana mara 1 1...alipomaliza mwaka huu nkaona isiwe tabu aje tutulie magheton kwangu huku chuoni nikiwa na attention kuwa boom nalopata tuweze kujibana afanye chochote kitu akiwa anafukuzia michongo ya kutafta shule akikosa basi akomae na biashara..biashara ikiwa nzuri basi nani ntakuja ntumie ka mtaji kupambana mtaani nkiwa natafuta ajira...worse situation imekuja pale nlipowashrkisha wazazi kuhusu situation nlonayo walnipinga sana japo awawezi inglia sana maamuzi yangu zaid walinionya na kunisihi niachane na huyu binti ...skua na 7bu ya binti kumuacha kizembe ikiwa alkua ananiheshimu na ananijali sana kiukweli nlichoamua mm nkutafta ugomvi ili aondk ilfkia stage nlimpiga na ugomvi usoisha nia yangu aondke ....ilfkia stage akakubali kuondk ...(ikumbukwe tunapendana)kwao ni kujib maish magumu namimi ndo kidg Nina nafasi ya kumsaidia ijapokuwa ata kwetu hatuko vizuri....bahati nzuri yeye si mtu wa kijana ndani ni msusi(saloon za wanawake)ko daily lazma aje na kitu kinachotusaidia ...amekaaa wiki ka3 kwao akaniomba tena aje gheto kwangu ili aweze kufatlia kadi ya nida akiwa kwao ni mbali then akshapta aende dar ambako amepata kazi ila wanahitaji nida datz y anafukuzia..ameweza kdangnya kwao na amerd tn kwangu nami nmekubal coz nampenda ila changamoto ni masomo ila th anatk tupambane na maish pamoja nami
Sa najikuta niko dillema
Kwa niaminie tuanze maisha au nmpotzee nisome kwanza...asanteni
Hakuna mzazi wa kipato cha chini anaweza kubali hayo, na kumpiga ni kosa kubwa sana, Mwanaume unatumia akili kama unataka aondoke na hakuna ugomvi, huyo msichana huenda ni mzuri na anajitambua au anavumilia kwa sabau ya shida alizo nazo, vijana wote wa kike na Kiume ni muhimu kujua maisha yana taratibu zake, ni vyema mkabaki marafiki mpaka wote muweze kujipatia kipato ndio muanze kuishi pamoja, ila kwa kuanza mapema hivyo ni vigumu sana kufikia kuwa na ndoa, kwani baada ya shule mpaka kupata kazi au msimamo wa kipato kuna changamoto nyingi.
 
Hakika
"Kazana na shule,mapenz achia wenye uwezo nayo".Fuata huu ushauri,utanishukuru baadaye!!
Iko
Hakuna mzazi wa kipato cha chini anaweza kubali hayo, na kumpiga ni kosa kubwa sana, Mwanaume unatumia akili kama unataka aondoke na hakuna ugomvi, huyo msichana huenda ni mzuri na anajitambua au anavumilia kwa sabau ya shida alizo nazo, vijana wote wa kike na Kiume ni muhimu kujua maisha yana taratibu zake, ni vyema mkabaki marafiki mpaka wote muweze kujipatia kipato ndio muanze kuishi pamoja, ila kwa kuanza mapema hivyo ni vigumu sana kufikia kuwa na ndoa, kwani baada ya shule mpaka kupata kazi au msimamo wa kipato kuna changamoto nyingi.
S
Karma is the bitch malipo ni hapa hapa machozi ya uyo binti na muda wake na utamu wake ulio upora utaulipa,wazazi wako washakuzaa yes wasikilize sio kila kitu wanapatia mengine ushapewa akili jiongeze we wakubalie but we na mtu wako endeleza penzi lenu

Anyway unachokitafuta utakipata naona bado hujakua ila uyo mwanamke utajamkumbuka when is too late
Kazi kwako dogo embu nitumie namba ya uyo bi dada Pm kuna kitu nimuulize
Shukrani sana kwa ushauri mzuri...kuhusu namba zake tafta connection
 
Back
Top Bottom