Wewe unaonaje anakufaa au hakufai??Naombeni ushauri ananifaa huyu binti kuwa mke ?
Mkuuuuu kweli mwanaume wako apike aoshe vyombo ww upo na mnaishi geto 1that's stupidkwenda huko , yani wewe umgonge mtoto wa watu, umpikilishe kwenye jiko lako la kuinama plate moja, akufulie afanye usafi na bado unalalamika kutumia hela yako ya emergency ,... kama unataka kumfaidi kaoe huko ,,.. yani nadhani mimi ungekuwa umeshaandika thread ukiunganisha nikitabu cha page 300, we soma kwanza jijenge halafu oa acha hayo mambo wacha akugombeze kabisa na kukutoboa hayo macho
Na yeye mwanamke kama anajua hajatolewa mahari pale anafanya nini?Anagharamiwa kila kitu,kasoro ada...kazi ndio hataki?.Wewe ndo mbaya, huyo binti umempa hela za emergency, sasa kama imegence imetokea akatumia mbona umalalamika?
Na kweli hujamtolea mahari wala nn, unataka akufanyie nn? Nawe kweli mtu kasafiri anakuta vyombo vichafu, halafu unamjibu kwa jeuri hivyo, we ulitaka yy afanyaje? Jiweke na wewe kwenye nafasi yake bas uone anavyopata taabu.
Kwa mimi hapo kweli ni stupid sifanyi ha ha ha mkuu Acha tu nikatike hata hujanioaMkuuuuu kweli mwanaume wako apike aoshe vyombo ww upo na mnaishi geto 1that's stupid