Naombeni ushauri kwa huyu Msichana

Sasa mkuu hawa viumbe wapo sensitive sana na maneno tunayowaambia
Ni kweli ila siwezi na simshauri mtu kutamka demu kwa Msichana mwenye malengo nae ,ni dharau kubwa sana
 
Kwani kila ukizoeana na jinsia tofauti na mkawa mnapiga stori sana lazima muwe wapenzi?
 
Back
Top Bottom