Naombeni ushauri kwa huyu Msichana

Mbona simple na wewe igiza kuwa mlokole nenda nae kanisani kwao hio ni stage ya kwanza
Yeye anasema ikitokea nikaigiza atafatilia mienendo yangu kabla ya jambo lolote na sio garantii kwamba kuokoka ni paspoti ya moja kwa moja ya kumpata yeye,kuokoka ni kwa ajili ya uokovu wangu halafu suala la mapenzi ije baadae.Na aliniuliza swali kwani bila kunitaka Mimi huwezi okoka ,ni mpaka unitake mimi?
 
Simply hakutaki ,,,,
Kinachonipa hofu ni kwamba anawezaje kuwa karibu na mimi ili hali anitaki? ,Huwa nampigia simu mara nyingi na kwenda kwake mara kadhaa .Kama angekua hanipendi kabisa haya yangewezekanaje? .
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Wadau habarini za muda huu, mategemeo yangu mu wazima wa afya na mmeanza kusukuma gurudumu la maendeleo baada ya uchaguzi kupita kwa amani.Nije moja kwa moja kwenye mada nina msichana ambaye namtokea taklibani mwaka sasa ni msichana mzuri sio kisura ila kwa tabia.

Huwa nkutananae mala kazaa na kuongeanae ila shida inakuja ukimgusia mahusiano ndio changamoto inapoanza ,yani anaweza kukata hata simu lakini kama mnaongea mambo mengine tofauti na mahusiano mnaweza ongea hata lisaa . Msichana ni mlokole na hoja yake ya msingi ni kwamba hawezi anzisha mahusiano na mtu mwenye imani tofauti na yake .

Huyu ni binti ambaye sijatembea naye ingawa huwa nakutana na kuongea nae mala kazaa na mala ya mwisho nimekutana nae jmosi hii wakati nampelekea zawadi yake ya kuzaliwa.Kwa kawaida huwa nampigia usiku kuanzia saa 4 hadi 5 na tunaongea bila shida ila ukimgusia kuhusu mahusiano ndio tatizo linapoanza.

Wenye uzoefu na hawa wanawake walokole mje tujadili kidogo hii kitu wakuu.
Ww ni mjinga unamtongoza mwanamke mwaka mzima huyo akutak na ana mpenz wake ww anakutumia tu kufurahisha nafsi na vistor stor vyako vile na jinsi unavyoangaika basi anaona raha si kifan
MUACHE HARAKA SANA na ukikutana nae njian usimsalimie tena huko huko kanisan anza kutongoza wqnawake wengine mbele yake usimtumie sms yoyote futa kabisa mawasiliano nae apa utakuwa umemshinda sasa ww endelea kukaa apo utaja niambia wenzako wanajimwagia hapo
 
itakuwa kwasababu unamchanganyia 'z' na 'dh' au 'r' na 'l' basi anaona utakuwa unamchanganyia wanawake hata ukimuoa.

Na kwasababu huwezi kuruka paragraph basi utakuwa huwezi kuruka binti mzuri bila kusimamisha.
Tena ubaya anaona hata akuelekezeje huwezi koma maana hata hauna koma kwenye maandishi yako.
😂😂😂😂
 
Nimecheka dah jamii forum kuna machizi
 
Ww ni mjinga unamtongoza mwanamke mwaka mzima huyo akutak na ana mpenz wake ww anakutumia tu kufurahisha nafsi na vistor stor vyako vile na jinsi unavyoangaika basi anaona raha si kifan
MUACHE HARAKA SANA na ukikutana nae njian usimsalimie tena huko huko kanisan anza kutongoza wqnawake wengine mbele yake usimtumie sms yoyote futa kabisa mawasiliano nae apa utakuwa umemshinda sasa ww endelea kukaa apo utaja niambia wenzako wanajimwagia hapo
Mwanzoni nilifikiria hivyo kwamba ana mtu, lakini sikuweza kubaitika kujua kama anae ,nilimuuliza kama ana mtu akakataa lakini pia huwa naenda sana pale kwake sijaona dalili ya kua na mtu.Pia kuna binti mwenzake wanaishi nae pale yeye ananiambia hajawahi mwona mwanaume yeyote kuja kwa huyu binti isipokua Mimi wa kwanza ambaye nimeenda pale kwao kwa kipindi chote cha miaka 2 sasa.Na hata yeye nikimuuliza ananiambia hana mtu ishu ni dini ndio changamoto.
 
Sikia ww unahis uyo dada ni bikra au kashaliwa tayar ? Kwan dini inazuia mapenz watu wanatongozana apo apo kanisan ? Nakuhakikishia uyo ana lake jambo na din sio sababu ww ucmwogope jitoe fahamu siku ukienda kwake mwanzishie umo umo ndan akigoma kabisa usimbake ondoka na ucrud tena apo
Mm kuna dada mmojq mlokole ni mshikaj wangu sn tu lkn nikimpa gia za mapenz mbish kinoma nikamvizia mara mbili nimweke kiko nile tunda kimasihara ikashindikana saiz hata atuongei
 
Wadau habarini za muda huu, mategemeo yangu mu wazima wa afya na mmeanza kusukuma gurudumu la maendeleo baada ya uchaguzi kupita kwa amani.Nije moja kwa moja kwenye mada nina msichana ambaye namtokea taklibani mwaka sasa ni msichana mzuri sio kisura ila kwa tabia.

Huwa nkutananae mala kazaa na kuongeanae ila shida inakuja ukimgusia mahusiano ndio changamoto inapoanza ,yani anaweza kukata hata simu lakini kama mnaongea mambo mengine tofauti na mahusiano mnaweza ongea hata lisaa . Msichana ni mlokole na hoja yake ya msingi ni kwamba hawezi anzisha mahusiano na mtu mwenye imani tofauti na yake .

Huyu ni binti ambaye sijatembea naye ingawa huwa nakutana na kuongea nae mala kazaa na mala ya mwisho nimekutana nae jmosi hii wakati nampelekea zawadi yake ya kuzaliwa.Kwa kawaida huwa nampigia usiku kuanzia saa 4 hadi 5 na tunaongea bila shida ila ukimgusia kuhusu mahusiano ndio tatizo linapoanza.

Wenye uzoefu na hawa wanawake walokole mje tujadili kidogo hii kitu wakuu.
Kama hata kuandika hujui unategemea kuna mwanamke atakuelewa unachokitaka kwake?
 
Sikia ww unahis uyo dada ni bikra au kashaliwa tayar ? Kwan dini inazuia mapenz watu wanatongozana apo apo kanisan ? Nakuhakikishia uyo ana lake jambo na din sio sababu ww ucmwogope jitoe fahamu siku ukienda kwake mwanzishie umo umo ndan akigoma kabisa usimbake ondoka na ucrud tena apo
Mm kuna dada mmojq mlokole ni mshikaj wangu sn tu lkn nikimpa gia za mapenz mbish kinoma nikamvizia mara mbili nimweke kiko nile tunda kimasihara ikashindikana saiz hata atuongei
ulokole siyo sababu....mbona tunawakula tu huku mtaani as long as ukikubali kwenda anakosali mara mbili tatu....ila huyo jamaa ni lofa
 
Back
Top Bottom