Naombeni ushauri kwa huyu Msichana

Naombeni ushauri kwa huyu Msichana

ulokole siyo sababu....mbona tunawakula tu huku mtaani as long as ukikubali kwenda anakosali mara mbili tatu....ila huyo jamaa ni lofa
Mm mwenyewe ndio nashangaa watu wanatongoza wadada wameshika dini ile mbaya na wanaliwa siku ioio sasa uyu kakaa apo miaka miwili huu ulofa kabisa
 
Mm mwenyewe ndio nashangaa watu wanatongoza wadada wameshika dini ile mbaya na wanaliwa siku ioio sasa uyu kakaa apo miaka miwili huu ulofa kabisa
Nini kifanyika ndugu ,mbona matusi tena?
 
Wadau habarini za muda huu, mategemeo yangu mu wazima wa afya na mmeanza kusukuma gurudumu la maendeleo baada ya uchaguzi kupita kwa amani.Nije moja kwa moja kwenye mada nina msichana ambaye namtokea taklibani mwaka sasa ni msichana mzuri sio kisura ila kwa tabia.

Huwa nkutananae mala kazaa na kuongeanae ila shida inakuja ukimgusia mahusiano ndio changamoto inapoanza ,yani anaweza kukata hata simu lakini kama mnaongea mambo mengine tofauti na mahusiano mnaweza ongea hata lisaa . Msichana ni mlokole na hoja yake ya msingi ni kwamba hawezi anzisha mahusiano na mtu mwenye imani tofauti na yake .

Huyu ni binti ambaye sijatembea naye ingawa huwa nakutana na kuongea nae mala kazaa na mala ya mwisho nimekutana nae jmosi hii wakati nampelekea zawadi yake ya kuzaliwa.Kwa kawaida huwa nampigia usiku kuanzia saa 4 hadi 5 na tunaongea bila shida ila ukimgusia kuhusu mahusiano ndio tatizo linapoanza.

Wenye uzoefu na hawa wanawake walokole mje tujadili kidogo hii kitu wakuu.
Mabinti wa aina hiyo shida sana. Yaani ili aongee kuhusu mahusiano na wewe ni lazima aidha ameonyeshwa Kwenye ndoto kuhusu wewe, au uwe unasali katika kanisa analosali yeye, au labda kama mtumishi wao ameshamtabiria kupata mchumba kama wewe.

Huwa wametawaliwa na imani na wanaamini katika utabiri na ndoto kuliko akili zao wenyewe.
 
Akifika 29+ ata sahau ata uo wokovu ni swala la mda tu .saiv acha aolewe na mchungaji wake
Tayari ameshavuka ana 33 now na bado kakaza kwamba hata kuja kuolewa na mtu ambae sio dini yake nineshambembeleza sana na kumsihi lakini bado hataki.Ingawa mwanzoni nilifikiri kwa ana mtu ,nikafanya utafiki wa mimi mwenyewe na kupitia watu wa karibu yake kama ofisini na nyumbani lakini sijagundua kama ana mtu.Kwa taarifa za binti mwenzake anayeishi naye anasema hajawahi mwona akiwa na mwanaume kwa muda wote huo walioishi hapa kwenye nyumba hiyo kwa zaidi ya 2years sasa.
 
Mabinti wa aina hiyo shida sana. Yaani ili aongee kuhusu mahusiano na wewe ni lazima aidha ameonyeshwa Kwenye ndoto kuhusu wewe, au uwe unasali katika kanisa analosali yeye, au labda kama mtumishi wao ameshamtabiria kupata mchumba kama wewe.

Huwa wametawaliwa na imani na wanaamini katika utabiri na ndoto kuliko akili zao wenyewe.
Mkuu fafanua kidogo ,unaanisha inatakiwa aniote kwenye doto au inakuaje?
 
Tayari ameshavuka ana 33 now na bado kakaza kwamba hata kuja kuolewa na mtu ambae sio dini yake nineshambembeleza sana na kumsihi lakini bado hataki.Ingawa mwanzoni nilifikiri kwa ana mtu ,nikafanya utafiki wa mimi mwenyewe na kupitia watu wa karibu yake kama ofisini na nyumbani lakini sijagundua kama ana mtu.Kwa taarifa za binti mwenzake anayeishi naye anasema hajawahi mwona akiwa na mwanaume kwa muda wote huo walioishi hapa kwenye nyumba hiyo kwa zaidi ya 2years sasa.
Basi Kama ndy hivyo kwmb hatakuja kuolewa na mtu ambaye c dini yake.. ndy maan anasita na hayupo tayari kuingia ktk mahusiano na ww.
Cha msingi we nenda naye taratibu tu kama unampenda endelea kumuonyesha namna gani una mjali.. ila angalia usipoteze mda wako maan ni ngumu xana kuwa ktk mahusiano kw dini mbili tofauti.. ni mara chache xana... Labd kama mmoja wapo awe tayari kufuata dini ya mwenzake.. ila kwa huyo mlokole ni ngumu kubadili dini... Labd kama ww upo tayar kubadili dini kwa ajili yake.
 
Sikia ww unahis uyo dada ni bikra au kashaliwa tayar ? Kwan dini inazuia mapenz watu wanatongozana apo apo kanisan ? Nakuhakikishia uyo ana lake jambo na din sio sababu ww ucmwogope jitoe fahamu siku ukienda kwake mwanzishie umo umo ndan akigoma kabisa usimbake ondoka na ucrud tena apo
Mm kuna dada mmojq mlokole ni mshikaj wangu sn tu lkn nikimpa gia za mapenz mbish kinoma nikamvizia mara mbili nimweke kiko nile tunda kimasihara ikashindikana saiz hata atuongei
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Basi Kama ndy hivyo kwmb hatakuja kuolewa na mtu ambaye c dini yake.. ndy maan anasita na hayupo tayari kuingia ktk mahusiano na ww.
Cha msingi we nenda naye taratibu tu kama unampenda endelea kumuonyesha namna gani una mjali.. ila angalia usipoteze mda wako maan ni ngumu xana kuwa ktk mahusiano kw dini mbili tofauti.. ni mara chache xana... Labd kama mmoja wapo awe tayari kufuata dini ya mwenzake.. ila kwa huyo mlokole ni ngumu kubadili dini... Labd kama ww upo tayar kubadili dini kwa ajili yake.
Changamoto inakuja kila ninapompigia huwa anataka tuongee kawaida na huwa ananishauri tuwe tunaongea mambo yasiyohusu mawasiliano ndio huwa anafarijika sana na huwa ananiambia Fulani ,"huwezi nipigia tukaongea mambo mengine yasiyo ya mahusiano? " ,Kila ukinipigia utaongelea mahusiano mpaka lini?. Hii inanishangaza anawezaje kujisikia kuongea na mimi zaidi ya lisaa ili hali hanipendi? ,Hii ndicho ninachoniuliza
 
Huna hela, huna pesa, huna pakee. Watu wanashindwa kukwambia ukweli. Hapo sijataja elimu yako mbovu.
 
Mkuu fafanua kidogo ,unaanisha inatakiwa aniote kwenye doto au inakuaje?

Wanaamini hakuna mume mwema anayeweza kutoka katika imani au dhehebu lingine zaidi ya pale walipo.
 
Wanaamini hakuna mume mwema anayeweza kutoka katika imani au dhehebu lingine zaidi ya pale walipo.
Ahaa hii ni hatari sana ,hivi wanaotoka pale kwao wananini na sisi tulio nje tunanini?
 
Back
Top Bottom