Naombeni ushauri kwa hili

Hiyo inauma sana.
toeni tu mimba mkuu
 
Hili swali zuri sana,maana usikute ni cinema tu imechezwa
Yaaa,,wadada wengi ambao wanavaaga ustaarabu Wakati sio ndo zao

Hata akiwa sio bikra wanasemaga nilibakwa nikatolewa bikra
 
Mpeleke hospital ukijihakikishia hakupata magonjwa oa mkuu maana ataathirika kisaikolojia balaa
 
Hebu tengua kauli yako mkuu"Mchamungu na anahofu na mungu"

Mtu mwenye hofu na mungu amewezaje kuishi na wewe miaka mingi bila ndoa???

Hebu kuwa serious mkuu.
 
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848] jaman hvi ni kweli kabakwa? Tuanzie hapo kwanza
 
Hii situation imewahi kunitokea kitambo kidogo so nitakachokushauri kitakuwa na ka experience ndani yake.
Kwanza hata Mara moja usimuache maana sasa hivi anakuhitaji kuliko wakati mwingine wowote. Kama amefikia hatua ya kukwambia maana yake amekuamini so tunza hiyo Imani aliyoweka kwako.
Kuhusu kulea anzeni kujipnga sasa ili kufikia wakati wa kujifungua isiwape tabu sana. Kulea ni gharama lakini sio ya kushindwa kuimudu.
Kuhusu kutambulisha hiyo sasa ni namna gani mtaamua wewe na huyo mpnz wako
 
Kwahiyo mbakaji alimtoa bikra?
 
Yaani na usomi wote mlishindwa tambua hatua za mwanzo kufanya mtu akibakwa!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…