Hilo ni tatizo dogo sana kama mkiamua kutunziana siri, kama una mpenda kubali huo ujauzito ila kama una mtafutia sababu muache mapema huyo dada kuliko kupotezeana mda.Nimeishi naye karib sana Ila kipindi icho nlikuwa mbali kidogo na masomo
Pole zimfikie kwa kweli, matatizo yamesha tokea kubali tu mkuu usijalibu kumuacha kwa tatizo hilo.Sawa labda nikubali, mana tumetoka mbali, na kuna cku nlimjaribu, alikunywa sumu, alijua cmjali kutokana na tatizo lake ndipo nlipothibitisha
Mwanaume hapangiw nani wa kuowa.Nina mpenzi Ila bado hatujafunga ndoa sababu bado naendelea na masomo, tumeishi pamoja mda mrefu sana kwaiyo tabia zake nazijua sana, ni mchamungu na ana hofu ya Mungu, Ananipenda sana hata sasa hawezi kukaa saa bila kunitafuta,
Kuna cku akiwa ametoka chuo alibakwa na kupewa ujauzito, nliumia sana kwani alikuwa analia sana na nlipenda familia yangu niipange maisha yangu yakinyooka yani Nkishaajiriwa, hatutaki kutoa kwasababu ni dhambi pia ntakuwa nimemwingiza matatizoni kiafya,
Nawaza jinsi ya kulea na itakuwaje cku nkimpeleka nyumban kwetu kwamba ndiye nliyempenda,
Ushauri wenu jamani,
Alikuwa bikra?Hunielewi, an cyo kwamba nimeishi naye chumba kimoja, hapana, ni kwamba tumeishi karibu you tuu tangia wadogo, na cjawah toka naye kimwili sababu Mimi mwenyewe Nina hofu ya Mungu, alibakwa akiwa ametoka chuo akirudi nyumban mana alikuwa anakaa kwa Dada yake baada ya Baba yake kufariki
Uko sahihi mkuu, jamaa anachezewa akili hapaChuo kubakwa je ndio yale maisha ya wanafunzi kwenda magetoni?
Kwahyo bikra yake imetolewa kwa kubakwa, ndio alivyokuambia? Na baada ya kubakwa yy alichukua hatua gani? Kama kuenda polisi na hosp yani ikawajeNdio, hakuwahi kabisa, na tulipanga mengi baada ya ndoa
Mzee umejiridhisha kabisa alibakwa?Cyo chuon n njian alipokuwa anarud nyumban
Siku aliyobakwa alikuambia immediately?Ilikuaje hadi akakuambia?N mtu mmoja na magonjwa nimepima hajapata ugonjwa wowote,
Hunielewi, an cyo kwamba nimeishi naye chumba kimoja, hapana, ni kwamba tumeishi karibu you tuu tangia wadogo, na cjawah toka naye kimwili sababu Mimi mwenyewe Nina hofu ya Mungu, alibakwa akiwa ametoka chuo akirudi nyumban mana alikuwa anakaa kwa Dada yake baada ya Baba yake kufariki
Tatizo huyu jamaa hajaeleza vzr mkasa wake, inawezekana janja janja ya demu tuSiku aliyobakwa alikuambia immediately?Ilikuaje hadi akakuambia?
Kama alibakwa kweli hamna sababu ya kumuacha, utamuumiza zaidi.Mpende na msitoe ujauzito mkuu.
Siku aliyobakwa alikuambia immediately?Ilikuaje hadi akakuambia?
Kipindi alipobakwa Nlikuwa na mitian chuon so cm nlikuwa nmezim nkachelewa kupata taarifaSiku aliyobakwa alikuambia immediately?Ilikuaje hadi akakuambia?
Kama alibakwa kweli hamna sababu ya kumuacha, utamuumiza zaidi.Mpende na msitoe ujauzito mkuu.
Kwahiyo ulipita mda gani hadi kujua?Kipindi alipobakwa Nlikuwa na mitian chuon so cm nlikuwa nmezim nkachelewa kupata taarifa
Unajuaje kama alibakwa? Wanadamu ni waongo sana hasa anapojua amefanya kosa na hajui ataongea nini kwa aliyemkosea, inawezekana kabisa alikua akifanya mapenzi na mtu mwingine kwa tahadhari asije beba mimba kwakujua wewe ndiye mwenye mpango wa kumuoa lakini tatizo lako hukutaka kutimiza haja zake za kimapenzi kwa kisingizio cha kusubiria ndoa.Nina mpenzi Ila bado hatujafunga ndoa sababu bado naendelea na masomo, tumeishi pamoja mda mrefu sana kwaiyo tabia zake nazijua sana, ni mchamungu na ana hofu ya Mungu, Ananipenda sana hata sasa hawezi kukaa saa bila kunitafuta,
Kuna cku akiwa ametoka chuo alibakwa na kupewa ujauzito, nliumia sana kwani alikuwa analia sana na nlipenda familia yangu niipange maisha yangu yakinyooka yani Nkishaajiriwa, hatutaki kutoa kwasababu ni dhambi pia ntakuwa nimemwingiza matatizoni kiafya,
Nawaza jinsi ya kulea na itakuwaje cku nkimpeleka nyumban kwetu kwamba ndiye nliyempenda,
Ushauri wenu jamani,
Wasema kweli mkuu.Unajuaje kama alibakwa? Wanadamu ni waongo sana hasa anapojua amefanya kosa na hajui ataongea nini kwa aliyemkosea, inawezekana kabisa alikua akifanya mapenzi na mtu mwingine kwa tahadhari asije beba mimba kwakujua wewe ndiye mwenye mpango wa kumuoa lakini tatizo lako hukutaka kutimiza haja zake za kimapenzi kwa kisingizio cha kusubiria ndoa.
Pia inawezekana alikua akikaa karibu na mwanaume ambaye huwa anamsumbua kimapenzi na kumshawishi mwanaume huyo kumuwekea mbinu za kumuingilia kimapenzi bila maandalizi au tahadhari ya mimba na kwakua walishafanya mazoea basi mwanamke akajikuta kapandwa na genye akaachia kisha kijana wa watu kala mzigo.
Wiki chache baadaye mchumba wako kagundua ana mimba na kapewa na mtu asiyemtarajia hivyo njia pekee ya kujiweka salama katika uchumba wenu ni kusingizia kabakwa.
Kama moyo wako umeridhia oa lakini tambua mwanamke huyo ni dhaifu sana kichwani pia atakuja kukutana na mzazi mwenzie kipindi mnaishi katika ndoa na atapigwa tu. Hao ni wapenzi wala usijidanganye kabakwa na kilio chake ni hofu ya uchumba wenu kuharibika.
CHUKUA HATUA MAPEMA, NARUDIA CHUKUA HATUA MAPEMA
Wewe ni bikra mpaka sasa?hujui papuchi kabisa?yaani hujui kabisa?Ndio, hakuwahi kabisa, na tulipanga mengi baada ya ndoa