Naombeni ushauri kuhusu kumuoa huyu binti

BRAIN BOX

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2021
Posts
391
Reaction score
336
Mimi ni kijana wa miaka 30, nilikutana na Binti Mmoja tukiwa chuo, miaka ya nyuma kidogo.. nikawa na namba yake, lakini nilimtomgonza, miezi Sita iliyopita akakubali, na nikamwambia nataka kumuoa. Ila sasa toka kipindi icho amekuwa akinilazimisha niende kwao kutoa posa na mahari. Tunaishi mikoa tofauti..
Tukiwa tunakutana simu yake anaweka password, hataki niishike.

Kuna siku niliishika. Nikakuta meseji anachati na wanaume, wengine wanamwambia waonane anakubali, wengine anawabebisha anawaomba na hela. Na Kuna mwingine yupo mkoa Mmoja, huyu mwanamke wangu alikuwa anamwambia atasafiri kwenda huko, waonane.

Na nikimsaidia kwa mfano hela ya vocha au 50,000 ananambia iyo hela sio hela hata, muuza vitumbua anaweza mpa demu wake. Vipi wakuu nioe hapa?
 
Nikishasikiaga demu katoka chuo na stim za mapenz hukata mda huohuo!, shida wanapenda kuishi maigizo ya kijinga kuliko uhalisia!, nilikuwaga na kichomi cha ivo nilipiga chini chap tu!, kile kilikuwa kinaenda kuniua kabisa nisingekuwepo mda huu, bora hawahawa wa lasaba B hawana mambo mengi.
 
1. Ni kosa kubwa kufika hyo miaka haujaoa, labda uwe una mtoto

2. Huyo mwanamke yupo anatafuta wa kumuoa na lazima awe na maisha mazuri ndiyo maana hata ukimpa hyo hela anaidharau.

3. Huyo mwanamke ameisha kutana na wenye kipato zaidi (maana yupo kimaslahi zaidi) hvo kaa pembeni

4. Huyo mwanamke siyo mke. Tafuta mke

5. Kwa dalili hzo huyo anajiuza

6. Kusoma chuo kimoja isiwe sababu ya kuingia kwenye kifungo na kuleta laana na presha langoni kwako.
-kumbuka ndoa ni ibada. Hvo tafuta mtumishi wa imani yako kwa usahihi

7. Umri unaenda, achana na mambo ya mjini mjini, rudi kwa wazazi wako, kaa nao washirkishe kuhusu kuoa mke na siyo huyo mwanamke, kuna kitu watakwambia
-wazee wetu wanaona mbali hata kama hawajaenda chuo kama demu wako

8. Tafuta pesa na oa mapema, acha umalaya

9. acha kugawa hela kwa mapepo ya ngono, wataiba nguvu zako

10. ipo siku utalea mtoto asiye wako kwa kutokupenda.

11. USIMTUKANE, USIMUUDHI, USIMPE MIMBA, BALI ACHANA NAYE KWA AMANI, SONGA MBELE.
 
Mimi ni kijana wa miaka 30, nilikutana na Binti Mmoja tukiwa chuo, miaka ya nyuma kidogo.. nikawa na namba yake, lakini nilimtomgonza, miezi Sita iliyopita akakubali, na nikamwambia nataka kumuoa. Ila sasa toka kipindi icho amekuwa akinilazimisha niende kwao kutoa posa na mahari. Tunaishi mikoa tofauti..
Tukiwa tunakutana simu yake anaweka password, hataki niishike.

Kuna siku niliishika. Nikakuta meseji anachati na wanaume, wengine wanamwambia waonane anakubali, wengine anawabebisha anawaomba na hela. Na Kuna mwingine yupo mkoa Mmoja, huyu mwanamke wangu alikuwa anamwambia atasafiri kwenda huko, waonane.

Na nikimsaidia kwa mfano hela ya vocha au 50,000 ananambia iyo hela sio hela hata, muuza vitumbua anaweza mpa demu wake. Vipi wakuu nioe hapa?
miaka 30 huoni kama ni shimo unaingia?
tips ndogo ndogo
1.ukitongoza mwanamke usiseme nataka nikuoe
2.akisema unata kunichezea mwambie akili zetu znawaza kitu kimoja
 
Mimi ni kijana wa miaka 30, nilikutana na Binti Mmoja tukiwa chuo, miaka ya nyuma kidogo.. nikawa na namba yake, lakini nilimtomgonza, miezi Sita iliyopita akakubali, na nikamwambia nataka kumuoa. Ila sasa toka kipindi icho amekuwa akinilazimisha niende kwao kutoa posa na mahari. Tunaishi mikoa tofauti..
Tukiwa tunakutana simu yake anaweka password, hataki niishike.

Kuna siku niliishika. Nikakuta meseji anachati na wanaume, wengine wanamwambia waonane anakubali, wengine anawabebisha anawaomba na hela. Na Kuna mwingine yupo mkoa Mmoja, huyu mwanamke wangu alikuwa anamwambia atasafiri kwenda huko, waonane.

Na nikimsaidia kwa mfano hela ya vocha au 50,000 ananambia iyo hela sio hela hata, muuza vitumbua anaweza mpa demu wake. Vipi wakuu nioe hapa?

View: https://youtube.com/shorts/LM4RB9JGNWQ?si=nK7LxK1Hz6ypIULv
 
Back
Top Bottom